oh, naona wewe ni mbishi! Nikupe issue nyingine, sikiliza wimbo wa TID nyota yako ndio utanielewa nina maanisha nini. wasanii wabongo ni wizi mtupu!!Mkuu sitaki kukuweka ktk kundi la watu wanaosubiri mwezao anapojitahidi kutoka wao wanatumia muda na akili nyingi kuchunguza makosa yao badala kuwapa sapoti.
Nadhani imekuathiri kwakuwa msechu alisema anamuadimire kwa sana kidumu na jaji iyan kumponda msechu kuwa anafanya kama kidumu hivyo aache.
By the way kwa ufahamu wangu msechu alitunga wimbo beat likatengenezwa kwa mj kisha mpango mzima
job true true
join datethu oct 2010posts1thanks0thanked 0 times in 0 posts rep power0