Peter Msechu kafanana na Tundu Lissu

Ni babaake wa nyumba ndogo.
 
Sijui ni macho yangu tuu,ila naona mwanamuziki Peter Msechu amefanana sana na mbunge Tundu Antipus Lisu
Hala hala muungwana usije sababisha mitafaruku kwenye familia za watu maneno mazito hayo, japo kuna kufanana kweli ila wana maadui watu hawa wakiya beba hayo uta yasikia kwa Shigongo.
 
Weka picha tuwaone, wengine hatuwafahamu
 
Mimi mbona nililionaga hilo siku nyingiii..nikasema duniani kweli wanne wanne
 
Kweli ukiwaangalia kwa mbali unaona wamefanana,lakini ni kweli duniani wawili wawili kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…