Peter Msechu, nimekubali wewe unao uwezo wa kuziba pengo la John Komba

Peter Msechu, nimekubali wewe unao uwezo wa kuziba pengo la John Komba

Katika kizazi hiki Msanii bora wa kutunga nyimbo za maombolezo zener hisia ni Msechu peke yake Tunzi bora na sauti safi hawa wengine wanatupigia kelele
Nachoelewa kofia ya John Komba hakuna wa kupewa yule mwamba alikuwa na uwezo tofauti.
Komba atabaki kuwa Komba na uyo msechu atabaki kuwa msechu.
 
Huyu msechu inawezekana alipewa taarifa mapema, haiwezekan ndan ya masaa tu toka upate taarifa ya kifo utunge wimbo mzuri kiasi kile

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Hapana mkuu,
Msechu ana uwezo mkubwa sana wa kutunga papo kwa papo.
Namfahamu tangu tukiwa shule alikuwa anatunga nyimbo wakati anaimba na gita lake Yaani kama free styles.
 
Nimesikiliza pia ile aliyotumia beat ya ekwueme kaua sana Msechu.
Ila huyu jamaa anajua, kwa mtazamo wangu hata ile cover ya sitabaki kama nilivyo aliimba kwa hisia kuliko mwenye wimbo.
 
Nyie mnashindanisha na kufurahia nyimbo ..wanafamilia wanamajonzi na mtu wao..

Dunia hii..
 
Back
Top Bottom