kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Huu nimeusikia ibra na cheed wameuwa sana humo...Wimbo wa konde umeusikia
vanny mbona ameisha achiaHuu nimeusikia ibra na cheed wameuwa sana humo...
Tumsubiri sasa vanny boy
Vanny alitoa tangia asubh mbonaHuu nimeusikia ibra na cheed wameuwa sana humo...
Tumsubiri sasa vanny boy
Nachoelewa kofia ya John Komba hakuna wa kupewa yule mwamba alikuwa na uwezo tofauti.Katika kizazi hiki Msanii bora wa kutunga nyimbo za maombolezo zener hisia ni Msechu peke yake Tunzi bora na sauti safi hawa wengine wanatupigia kelele
Kama hujaelewa ndo useme mnashidwaga kuwakosoa watawala wenu mnakuja kuleta ujua hapaMtoa mada jifunze kuandika kwanza
Mnashindwaga= MnashindwaKama hujaelewa ndo useme mnashidwaga kuwakosoa watawala wenu mnakuja kuleta ujua hapa
Hapana mkuu,Huyu msechu inawezekana alipewa taarifa mapema, haiwezekan ndan ya masaa tu toka upate taarifa ya kifo utunge wimbo mzuri kiasi kile
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app