π€£ π€£ π€£ π€£Kama hujaelewa ndo useme mnashidwaga kuwakosoa watawala wenu mnakuja kuleta ujua hapa
Umemaliza.Nachoelewa kofia ya John Komba hakuna wa kupewa yule mwamba alikuwa na uwezo tofauti.
Komba atabaki kuwa Komba na uyo msechu atabaki kuwa msechu.
Mwamba aliimba ile pini ya mwisho: Kuisoma Namba. Ule wimbo nilikua nauchukia hafu naupenda. Sema ndio hivo siwezi onesha hisia.Umemaliza.
John Komba hakuna wakufananisha nae. Alikuwa anajua sana. Wasanii walikuwa hata wakiimba vipi lakini Komba akishusha wimbo wake ana wapiku wote.
pastor prospa ochimanaAliyeimba EKUWEME the guy is so real talented
Mwenye huu wimbo wa maombolezo wa Peter anisaidie hapa(audio)
NakubaliUliimba wimbo bora sana wakati wa marehemu Ruge R.I.P
Umeimba wimbo bora kabisa wa maombolezo ya JPM.R.I.P
Una kipaji kikubwa sana.
Nimekubali wewe unao uwezo wa kuziba pengo la John Komba