Peter Msigwa angepata uenyekiti Kanda ya Nyasa angebaki CHADEMA. CCM wasimpe cheo chochote

sitaki hela

Member
Joined
Oct 10, 2022
Posts
93
Reaction score
117
Mm binafsi sipendezwi na huyu peter msigwa,hasa baada ya kuhama chama,swala la kuhama chama ni haki yake, siwezi kukataa ila tatizo linakuja swala la kuanza kutoa siri za chama, Wala halipendezi, alitoa sababu za kuhama chama kwamba hakimkutendea haki, ilikuwa imetosha.

Angejikita kwenye hoja za msingi za chama alicho nacho Sasa, akumbuke chama kimemlea, si jambo jema,na sisi wanaume hatuko hivyo hayo mambo ya mipasho tuwaachie wanawake,yeye ameona chama cha Chadema kimekaa kimya, kwanza kimemdharau, kimempuuza, na Mh mama Samia anapenda siasa za kistaarabu, sasa yeye alenge kwenye hoja za msingi tu kama ni kweli ya taifa atapewa tu, maana najua ni njaa tu inayomsumbua tu hasa baada ya kukaa muda mrefu bila kuwa mbunge,na kukosa uenyekiti wa Kanda.

Ukiona mwanaume anatoa Siri za chama ipo siku atatoa Siri za mke wake, msigwa kuwa mstaarabu sipendi kutaja jina la mchungaji kwan naona jina Hilo nitakuwa nalidhalilisha.

HIV ungepata cheo hicho Cha Kanda inamaana mpaka Sasa ungekuwa Chadema, OMBI KWA CHAMA CHA MAPINDUZ HUYO MTU HAJAKIJENGA CHAMA WAPO WALIO KIJENGA CHAMA, ASIPEWE CHEO CHOCHOTE AKAE KAMA MWANACHAMA WA KAWAIDA,😁😁😁😁😁
 
Hana mazala yoyote huyo acheni apayuke payuke apewe ka teuzi atulie
 
Limekuwa Mung'unya kuharibikia ukubwani
 
Mzee Lowasa(R.i
P) atabaki kuwa mwanasiasa bora na hekima zake zitadum, alipoenda chadema hakuna alipokibagaza chama cha ccm ,na arivyo rudi ccm , alitoa shukrani kwa chadema na kutamka anarudi nyumbani basi
 
Back
Top Bottom