Uchaguzi 2020 Peter Msigwa awasilisha barua kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA kuomba kuteuliwa kugombea Urais wa Tanzania

Kwani kujiandaa kugombea urais lazima ufanyeje? au kupiga zile push up!.

Nyie ndio wenye yale mawazo ya "presidential material"
 
Mbona Jiwe ameshasema yeye mwenyewe Mara kadhaa kwamba ulikumiziwa tu kwenye Uraisi na kweli akawa Raisi na sasa nchi nzima anataka imuabudu na kumsifu yeye.
Kabla ya kumshangaa Msigwa tumshangae Jiwe kwanza.
 
Inasikitisha sana kuona mtu ambaye hajajiandaa anapoibuka na kujidai kugombea Urais.
Hivi Msigwa upo Serious Kweli na Maisha ya Watanzania?
Hivi Chadema mna watu serious kuruhusu haya?

Hivi tunadhani Urais ni lelemama?
Kwani kutangaza nia ndio ashakuwa mbrba Bendera ?au unataka wamfukuze kama Membe
 
Vijana wa ccm kweli hamnazo aisee..kwn kutiania ndo kuwa mgombea kamili?? Mbona mnahofu na msigwa kiasi hicho?? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Inasikitisha sana kuona mtu ambaye hajajiandaa anapoibuka na kujidai kugombea Urais.
Hivi Msigwa upo Serious Kweli na Maisha ya Watanzania?
Hivi Chadema mna watu serious kuruhusu haya?

Hivi tunadhani Urais ni lelemama?
Tumeuliza mara kadhaa , kama Magufuli kaweza kuwa Rais wa Tanzania , ni mtu gani mwingine atashindwa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…