Mchungaji Msigwa: Tanzania kila kitu kimepangalanyuka, imekuwa ngumu kutofautisha CCM, Serikali na dola

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Kada wa CHADEMA aliyerejea hivi karibuni kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mchungaji Peter Msigwa amesema baadhi ya wanachama wa CCM wanajiona kuwa ni sehemu ya dola, huku serikali ikijiona kama mmiliki wa dola.

Akizungumza katika mahojiano maalum na Jambo TV, Msigwa amefafanua kuwa, kikatiba, Serikali si mmiliki wa dola bali hupewa dhamana ya kuisimamia kwa kipindi maalumu, kwa kawaida cha miaka mitano. Amesema ndiyo maana serikali inaweza kuondoka madarakani, lakini dola huendelea kuwepo.

"Dola huwa haiondoki. Chama chochote kikija kitatumia polisi hawa hawa, TRA, Jeshi hili hili ila kinaunda Serikali ambayo itaisimamia Dola kwa muda". Amesema Mchungaji Msigwa

Soma: Mchungaji Msigwa: Najutia kwenda CCM, bora ningefanya maamuzi tofauti

Aidha, akizungumzia utendaji wa taasisi za umma, amesema taasisi hizo zimeanzishwa kwa mujibu wa sheria ili kuwahudumia wananchi wote bila upendeleo wa kisiasa. Kwa mtazamo wake, viongozi wa vyama vya siasa kutoa maelekezo kwa viongozi wa taasisi hizo ni kinyume cha misingi ya utawala wa sheria na uhuru wa taasisi za umma.

Mashetani ya kijani na njano hayapendi kusikia vitu Kama hivi huku mtaani mpaka mjumbe wa tawi wa ccm nae no dola kamili. Hatali sana
 
Kada wa CHADEMA aliyerejea hivi karibuni kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM) @ccmtanzania , Mchungaji Peter Msigwa amesema baadhi ya wanachama wa CCM wanajiona kuwa ni sehemu ya dola, huku serikali ikijiona kama mmiliki wa dola.

Akizungumza katika mahojiano maalum na Jambo TV, Msigwa amefafanua kuwa, kikatiba, Serikali si mmiliki wa dola bali hupewa dhamana ya kuisimamia kwa kipindi maalumu, kwa kawaida cha miaka mitano. Amesema ndiyo maana serikali inaweza kuondoka madarakani, lakini dola huendelea kuwepo.

"Dola huwa haiondoki. Chama chochote kikija kitatumia polisi hawa hawa, TRA, Jeshi hili hili ila kinaunda Serikali ambayo itaisimamia Dola kwa muda".

Wanasiasa jau sana, ni kama kina Mwijaku tu, vidomo domo.
 
huyo mchungaji nae ni kama kachanganyikiwa vile,

hivyo ndivyo ilivyo kwenye nchi za demokrasia ya vyama vingi kote ulimwenguni. Na vyama vyote vya siasa kupitia chaguzi, hutafuta kukamata dola, kuunda serikali, kuongoza nchi, kuwatumikia wananchi na kuwaletea maendeleo.

hayo mengine ni porojo tu za mtu ambae anatafuta kiki au public sympathy ambayo pia haimsaidii chochote kwenye siasa za kutangatanga 🐒
 
Ndugu yangu huyu bwana alivyoenda FISIEMU tu akili ikaanza kuganda na ubongo ukaanza kuoza, ila naona kama alishtuka vile kama hali si hali huko akaamua kurudi mwangani. FISIEMU huko mashuka ushaanza kuzama wao hawajashtukia tu wanaendelea kujipa mahopes nakutuoelekesha pelekesha watanganyika
 
Kada wa CHADEMA aliyerejea hivi karibuni kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mchungaji Peter Msigwa amesema baadhi ya wanachama wa CCM wanajiona kuwa ni sehemu ya dola, huku serikali ikijiona kama mmiliki wa dola.

Akizungumza katika mahojiano maalum na Jambo TV, Msigwa amefafanua kuwa, kikatiba, Serikali si mmiliki wa dola bali hupewa dhamana ya kuisimamia kwa kipindi maalumu, kwa kawaida cha miaka mitano. Amesema ndiyo maana serikali inaweza kuondoka madarakani, lakini dola huendelea kuwepo.

"Dola huwa haiondoki. Chama chochote kikija kitatumia polisi hawa hawa, TRA, Jeshi hili hili ila kinaunda Serikali ambayo itaisimamia Dola kwa muda". Amesema Mchungaji Msigwa

Soma: Mchungaji Msigwa: Najutia kwenda CCM, bora ningefanya maamuzi tofauti

Aidha, akizungumzia utendaji wa taasisi za umma, amesema taasisi hizo zimeanzishwa kwa mujibu wa sheria ili kuwahudumia wananchi wote bila upendeleo wa kisiasa. Kwa mtazamo wake, viongozi wa vyama vya siasa kutoa maelekezo kwa viongozi wa taasisi hizo ni kinyume cha misingi ya utawala wa sheria na uhuru wa taasisi za umma.

Eehh kama wanavyosema wemye akili timamu, mwanasiasa malaya Malaya, jamaa kuingia FISIEMU tu ubongo ukaanza kuoza 🤣🤣🤣, ss baada ya Oct 29 akili ikamjia akaona aryke mtumbwi. Ss huku chadema bado tunamuoma mtu wa hovyo, ndio shida inapoanzia 🤣🤣

Wanasiasa na umalaya bwana...dah 🤣🤣
 
Ni hatare kubwa sana. Yaani kila Kiongozi wa mbogamboga anajiona ni sehemu ya dola, anaweza kufanya lolote kwa yeyote!
Mijitu Ina akili fupi sana hii, ndio shida za viongozi wanaojipa uongozi badlaa yakuchàguliwa
 
Back
Top Bottom