Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
MakubwaMtaji wa Chama cha siasa ni Watu. Kama hakitaki watu kitajiitaje chama cha siasa. Pia kuwa majini na mihemko yako, acha kutukana watu hata kama hukubaliani na maamuzi yao.
Alichangiaje mauaji ya Ali Kibao? Wenzio hatujui
Mkuu hizi tuhuma hiziHuyp mpumbavu ameshaitukana sana Chadema asirudi akae huko huko kwa wauaji, kwanza alichangia mauaji ya kikatili ya Mzee wetu Ali Kibao
Ccm walikuwa wanamtumia kuiharibia cdm taswira yake kwa umma, lakini walikuwa wanajua hana jipya. Na huko ccm hakuwa na ajenda nyingine zaidi ya kuanika chuki yake binafsi kwa Mbowe. Baada ya uchaguzi wa cdm ni kama ajenda yake binafsi na Mbowe imekufa. Hivyo hana thamani yoyote ndani ya ccm.Huyo alishindwa kabisa kuhama CHADEMA, alikuwa akili na roho yake iko CHADEMA ila mwili CCM aweze kula. Nadhani unachosema ni sahihi lazima atarudi. CCM wamemkaushia hana dili.
True,na ninaona wakirudiAkirudi Msigwa ,itakuwa hamna sababu kuwanyooshea kidole Covid 19 naoitabidi warudi nyumbani
Ngoja tuoneCcm walikuwa wanamtumia kuiharibia cdm taswira yake kwa umma, lakini walikuwa wanajua hana jipya. Na huko ccm hakuwa na ajenda nyingine zaidi ya kuanika chuki yake binafsi kwa Mbowe. Baada ya uchaguzi wa cdm ni kama ajenda yake binafsi na Mbowe imekufa. Hivyo hana thamani yoyote ndani ya ccm.
Cdm wasilogwe wakampa cheo chochote iwapo kweli atarejea, maana mtu anayeongea sana kama huyo sio wa kuaminika kabisa.
CCM ndiyo jangaWizi wa mitihani ni janga kubwa
Kubwa sana. Sasa wamekuja na vipindi vya michezo kutwa kucha hakuna kujadili issues. Sports, sports, sports mwaka mzima twafa.CCM ndiyo janga
Bora hao covid hawajawahi kuinanga Chadema kama alivyofanya huyo mbilikomo afie hukohukoAkirudi Msigwa ,itakuwa hamna sababu kuwanyooshea kidole Covid 19 naoitabidi warudi nyumbani
Kumbe na ww chawa mkubwa wa chadema haujui?Yetu Macho
Sijui loloteKumbe na ww chawa mkubwa wa chadema haujui?
Betting, miziki ya kijinga na kusifia RaisKubwa sana. Sasa wamekuja na vipindi vya michezo kutwa kucha hakuna kujadili issues. Sports, sports, sports mwaka mzima twafa.
ππππCcm walikuwa wanamtumia kuiharibia cdm taswira yake kwa umma, lakini walikuwa wanajua hana jipya. Na huko ccm hakuwa na ajenda nyingine zaidi ya kuanika chuki yake binafsi kwa Mbowe. Baada ya uchaguzi wa cdm ni kama ajenda yake binafsi na Mbowe imekufa. Hivyo hana thamani yoyote ndani ya ccm.
Cdm wasilogwe wakampa cheo chochote iwapo kweli atarejea, maana mtu anayeongea sana kama huyo sio wa kuaminika kabisa.
kabisaCcm walikuwa wanamtumia kuiharibia cdm taswira yake kwa umma, lakini walikuwa wanajua hana jipya. Na huko ccm hakuwa na ajenda nyingine zaidi ya kuanika chuki yake binafsi kwa Mbowe. Baada ya uchaguzi wa cdm ni kama ajenda yake binafsi na Mbowe imekufa. Hivyo hana thamani yoyote ndani ya ccm.
Cdm wasilogwe wakampa cheo chochote iwapo kweli atarejea, maana mtu anayeongea sana kama huyo sio wa kuaminika kabisa.
.Mtaji wa Chama cha siasa ni Watu. Kama hakitaki watu kitajiitaje chama cha siasa. Pia kuwa majini na mihemko yako, acha kutukana watu hata kama hukubaliani na maamuzi yao.
Alichangiaje mauaji ya Ali Kibao? Wenzio hatujui
Gentleman,Kuna kila dalili za aliyekuwa Mbuge wa Iringa, Mwenyekiti Kanda ya Nyasa na Mjumbe wa Kamati kuu na Mkutano Mkuu Mchungaji Peter Msigwa kurudi CHADEMA 23/03/2025.
Kashajitenga na CCM.
Je, Urafiki wake na Tundu Lissu Mwenyekiti wa CHADEMA ndo unamfanya alambe matapishi yake?
Mwingine anayepokelewa CHADEMA ni Dr. Slaa.
Kama ikiwa hivyo, CHADEMA itakuwa imezaliwa mara ya pili. Kila la heri
View attachment 3276192
Msigwa alitambulishwa kuwa mwanachama mpya wa CCM baada ya kutimka kutoka CHADEMA Siku ya Jumapili, Juni 30, 2024, mbele ya wajumbe wa halmashauri kuu ya chama hicho (NEC), katika kikao kilichofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam na kuongozwa na Mwenyekiti wake, Rais Samia Suluhu Hassan. Kama atarudi CHADEMA, atakuwa hajaa huko hata mwaka mmoja.
View attachment 3276186
Mchungaji Peter Simon Msigwa
Msigwa aliikimbia CHADEMA baada ya kushindwa na Joseph Mbilinyi (Sugu) kwa tofauti ya kura mbili tu, katika uchaguzi wa ndani wa CHADEMA uliofanyika Mei 29, 2024 huku akimshtumu aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho taifa, Freeman Mbowe, kwa kutumia mamlaka yake kuingilia mchakato wa demokrasia ndani ya chama kulazimisha watu anaowataka yeye ndo wawe washindi.