Peter Msigwa kurudi CHADEMA Machi 23, 2025?

Malaya ndio wanaotangatanga, mara huyu mara yule, na wanasiasa wanachukuwa huo mfumo?
 
Aendelee kubeba picha ya mama abdul tu
 

Attachments

  • dac25c6b-05ab-4329-af3b-0497d13d1c20~2.jpeg
    47.3 KB · Views: 36
  • dac25c6b-05ab-4329-af3b-0497d13d1c20.jpeg
    151.5 KB · Views: 25
Kati ya watu wasiokuwa na akili sawa sawa ni huyo Mbena
 
Sio yeye tuu hata covid 19 nao wako mbioni
 
Kwani ni uongo kwamba Mbowe alimfanyia figisu ?
Ni bora Msigwa aliyeamua kwenda Ccm kuliko Mbowe aliyekuwa anakula keki ya ccm wakati huo huo anataka awe mwenyekiti wa chadema.
 
Uzuri msigwa alishaweka wazi hana ugomvi na chadema ila hakubaliani na mfumo wa uongozi wa Mbowe the Autocratic, anaeendesha chama kama sultan kwa zaidi ya miaka 20, huku akiwa hakubaliani na mawazo mbadala.
Sio sababu, huko ccm aliokenda sio ndio aliiponda akawaita majizi? Sasa huko ccm alikubaliana na mfumo? Mwanasiasa njaa na mnafiki tu huyu
 
Sio sababu, huko ccm aliokenda sio ndio aliiponda akawaita majizi? Sasa huko ccm alikubaliana na mfumo? Mwanasiasa njaa na mnafiki tu huyu
Punguza kuweka moyo kwenye siasa weka akili, we unaweka chuki wenzako nyuma ya pazia wanaalikana lunch
 
Msiga huko kijani alianza kwa moto, baadae kimya ghafla.

Inawezekana huko kijani walimshtukia au sijui walishindwana masharti ya Msigwa kuzunguka nchi nzima kuimba mapambio, na kwa hulka ya Msigwa labda aligoma na kutaka cheo cha moja kwa moja.
 
Huyo hafai Katika siasa za ukombozi! Katika falsafa ya vyama vya upinzani ni ukombozi dhidi ya Chama tawala sasa ikiwa mwanasiasa anahama Chama Kwa sababu ya mtu mmoja( Mbowe) anaweza kuwaongoza mamilioni ya Watanzania kukiondoa Chama tawala Chenye mfumo ya utawala kwa zaidi ya miaka60,Chenye dola,rais wa nchi na amiri jeshi mkuu? Atarudi kwa sababu ya irafiki wake na mwenyekiti Lissu and not otherwise
 
Hahaha hapo nyuma kidogo alikuwa anaonekana ni think tank wa Team Lisu, kwasababu ajenda zao na ccm zilikuwa zinafanana "Kumuondoa Mbowe CDM".

Kamaliza kazi sasa sijui nini olitafuata baada ya kuwa wamemaliza kazi.
 
Dr. Slaa arudi chadema leo 23 Machi 2024 kwenye mkutano wa hadhara jijini Mbeya.
 
Uzuri msigwa alishaweka wazi hana ugomvi na chadema ila hakubaliani na mfumo wa uongozi wa Mbowe the Autocratic, anaeendesha chama kama sultan kwa zaidi ya miaka 20, huku akiwa hakubaliani na mawazo mbadala.
Ila aliweza kwenda ccm alipokuwa hakikubali chama wala uongozi wake. Shituka mkuu.
 
Haa HaA Haiba Imepotea Sana Alienda
Huko Kufanyaje
Aandike Barua Kuomba Msamaha Halafu Ndiyo Arudi
 
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama na Mgombea Urais kupitia Chadema Dr. Wilbroad Slaa amerejea Chadema na kupokelewa na Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. @TunduALissu katika uwanja wa Ruanda Nzovwe, Mbeya. Leo tarehe 23 Machi 2025 Chama kinazindua Operesheni #NoReformsNoElection katika jiji la Mbeya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…