Unayejiita mchungaji hiyo njaa inakupeleka jehanam hakika!Wakuu,
Kada wa CCM Mch Peter Msigwa, amesema Kauli mbiu ya Chadema ya No reform No Election ni kauli butu kwani haiwezi kufanikiwa.
Msigwa amesema Reforms zimeshafanyika na uchaguzi uko pale pale na wananchi wanaendelea kujiandikisha kwa ajili ya uchaguzi wa viongozi watakao wapa maendeleo.
Msigwa is a disgrace!! Hivi nafsi haiukuumi hata kidogo? Asee huoni umuhimu wa mabadiliko bse umekula mpunga wa CCM? Unahadi ya bunge nini??Unayejiita mchungaji hiyo njaa inakupeleka jehanam hakika!
Labda tujiuluze, mtu unataka reforms wakati huu wa uchaguzi ingali hizo reforms zinahitaji bunge maalum kukaa na kupitisha hayo mapendekezo.Wakuu,
Kada wa CCM Mch Peter Msigwa, amesema Kauli mbiu ya Chadema ya No reform No Election ni kauli butu kwani haiwezi kufanikiwa.
Msigwa amesema Reforms zimeshafanyika na uchaguzi uko pale pale na wananchi wanaendelea kujiandikisha kwa ajili ya uchaguzi wa viongozi watakao wapa maendeleo.
Ni ndoto ya mwendawazimu kudhani kupata kura nyingi kuzidi wagombea wengine kunaweza kumfanya mtu kutoka upinzani atangazwe mshindi katika chaguzi za sasa.Labda tujiuluze, mtu unataka reforms wakati huu wa uchaguzi ingali hizo reforms zinahitaji bunge maalum kukaa na kupitisha hayo mapendekezo.
Muda uliobaki mpaka uchaguzi hauruhusu kuweza kupata bunge maalum kulingana na ratiba za Bunge na ratiba ya uchaguzi.
MOST IMPORTANT ni kwamba hata hilo Bunge likikaa watakaopitisha hoja ni wabunge wa chama kimoja sasa JE mnatarajia hoja zipote kweli?
USHAURI
Ni heri twende uchaguzi, tuingize wabunge wengi na madiwani, then baada ya uchaguzi we call forconstitutional amendment and electiral commission's reform otherwise hii inayofanyika kwa sasa ni sindimba ngoma ya ukae. Wameamua kula hela zetu za michango ingali wangetumia muda huu kuzkusanya kwa ajili ya kampeni za uchaguzi.
dhamira inamsuta, ila njaa imezidi hana namna. Acha aendelee kula matapishi yake. Akishashiba matapishi yake . Atakuja kuomba msamaha wa alichokifanya. Mungu amsamehe tuuWakuu,