GE2025 Peter Msigwa: Tanzania ipo salama kwenye mikono ya CCM

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Mchungaji Peter Msigwa akiongea na wananchi wa jimbo la Ismani katika uzinduzi wa kampeni za chama cha Mapinduzi zilizo fanyika katika viwanja vya Nanenane, Kata ya Itunundu, mkoani Iringa 25 Septemba 2025 amesema Tanzania ipo salama chini ya Chama Cha Mapinduzi.

Pia Soma: GE2025 - Peter Msigwa: CCM kinaweza kuongoza nchi. Upinzani hawana sera

Your browser is not able to display this video.
 
Hii ndiyo post yake ya Mwisho
30/09/25
 

Attachments

  • Screenshot_20251019-213119.png
    788.4 KB · Views: 35
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…