PreGE2025 Peter Msigwa: Wapinzani tafuteni sera, acheni kupinga kila kitu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Hawa wapinzani wamepinga nn tena mkuu
 
Kada wa CCM, Peter Msigwa baada yakumalizika kwa mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Katibu Mkuu wa CCM, Dk. Emmanuel Nchimbi mjini Mbamba by, Ruvuma amevitaka vyama vya upinzani kunadi sera mbadala dhidi ya chama tawala, na kuacha kupinga kila kitu.
Kaka Hata Picha hakuna?😅😅
 
Kada wa CCM, Peter Msigwa baada yakumalizika kwa mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Katibu Mkuu wa CCM, Dk. Emmanuel Nchimbi mjini Mbamba by, Ruvuma amevitaka vyama vya upinzani kunadi sera mbadala dhidi ya chama tawala, na kuacha kupinga kila kitu.
Sasa yeye Chadema inamhusu nini? Si anadi sera zao huko?
 
Yeye yupo karamuni atulie, ale nyama na kulewa aache wanaume wapambanie wananchi..!!
 
Huyu nae akaage kimya, kuliko kujishushia heshima, hata ile kiduchu iliyobakia. Lol
 
Stupid Msigwa. Narudia Tena stupid Msigwa.
 
Alisema amemkimbia Mbowe vipi tena amehamisha goli?
 
Huyu babu anazeeka vibaya, halafu vile vitoto vyake vya kike inakuaje, ashapokea posa au tuingie kibishi
 
NIMEJARIBU KWA AKILI ZOTE KUTAFUTA SERA ZA CHADEMA HAKUNA HII KITU, WAO WAMEKUWA WAKIAMINISHA UMMA MAMBO YA KIJINGA KABISA.
 
huyu ni mavi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…