Peter Mwakatundu, nakutafuta rafiki

Sifa ya huyu jamaa ni mjuzi wa Lugha ya kibeberu alafu kaishia form 4 tu kwa historia kidogo alionipa aliwahi kaa Malawi kwa mda na yupo smart kichwani na upande maandiko yupo fiti huwezi mdanganya
 
Hapo kwenye kumpa suruali ya bluu anaweza kujikata akapita vile.....
Hapana mkuu sio kwamba nilimpaga kwa sababu Hana nguo hapana niliacha tu kwa sababu shuleni nisingeweza kuivaa ningeonekana mtovu wa nidhamu, maana hata mwenyewe tu akikumbuka hiyo suruali yenyewe lazima acheke
 
Umeshindwa nini kwenda kwa ndugu yake huyo mjeda wa kigamboni, hapo utapata taarifa zake
 
Peter mwakatundu kwa Sasa ni mwanajeshi (komando) yupo afrika ya kati kwa Sasa ,amejenga chalinze mkabala na bar ya travela ,ukifika mitaa hiyo ukamuulizia utapata

USSR
 
Peter mwakatundu kwa Sasa ni mwanajeshi (komando) yupo afrika ya kati kwa Sasa ,amejenga chalinze mkabala na bar ya travela ,ukifika mitaa hiyo ukamuulizia utapata

USSR
😳😳😳😳
 
Fanya Hivi.
1.Nenda Facebook
Tafuta hilo jina,angalia jina moja moja, picha kama ipo na details..

Ukimkosa hapo..
2.Tafuta jina Moja la mwakatundu.
Angalia majina ya mtu ambae jina lake linaishia mwakatundu,
Hapo unaeza bashiri kama ni mtoto,binti au kijana wake,au ndugu wa karibu.

Kama kazaliwa miaka ya 70/80
Unaeza kuta ana watoto..
Na watoto wa miaka ya 2000 wapo kiditali huezi kosa jina la mwana familia.
Au ndugu
 
Thanks kwa ushauri murua mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…