Peter Serukamba: Spika aache shobo

Peter Serukamba: Spika aache shobo

Spika kasema ukweli baada ya akili kumrudi ,ila kwanini ccm kila anayepinga aonekane msaliti kwa vitu vya msingi?mama anakopa utadhani mikoba ya wanawake kumbe anakopea nchi huyu mama aache shobo za kukopa,nchi ndo inalipa..Tanzania tumelaaniwa kila rais tunakutana na kimeo
 
Spika kasema ukweli baada ya akili kumrudi ,ila kwanini ccm kila anayepinga aonekane msaliti kwa vitu vya msingi?mama anakopa utadhani mikoba ya wanawake kumbe anakopea nchi huyu mama aache shobo za kukupa
Mnafki mkubwa huyo, kama ana uchungu na Tax payers awaondowe bungeni kwanza wahuni wenzake wa covid 19 wanaopokea mshahara haram ilihali siyo wabunge.
 
Spika kasema ukweli baada ya akili kumrudi ,ila kwanini ccm kila anayepinga aonekane msaliti kwa vitu vya msingi?mama anakopa utadhani mikoba ya wanawake kumbe anakopea nchi huyu mama aache shobo za kukopa,nchi ndo inalipa..Tanzania tumelaaniwa kila rais tunakutana na kimeo
Pesa nyingi zinaishia kwenye mifuko yao ndio maana siku hizi unaona kampuni kama lake oil imeshamiri kwa kasi ya ajabu
 
Mnafki mkubwa huyo, kama ana uchungu na Tax payers awaondowe bungeni kwanza wahuni wenzake wa covid 19 wanaopokea mshahara haram ilihali siyo wabunge.
mkuu Matola ngoja nikuambie kitu,huyu spika ni sukuma gang,na hao covid 19 wameingia kwa mgongo wa sukuma gang,mama anazingua sana ila pia kama sukuma gang wamejishtukia kwahiyo wanafanya juu chini mama aonekane mbaya ingawa pia mama anakopa sana. Najiuliza mama alikuwa makamu wa sukuma gang sasa hivi amewakataa,je 2025 itakwaje
 
Spika kasema ukweli baada ya akili kumrudi ,ila kwanini ccm kila anayepinga aonekane msaliti kwa vitu vya msingi?mama anakopa utadhani mikoba ya wanawake kumbe anakopea nchi huyu mama aache shobo za kukopa,nchi ndo inalipa..Tanzania tumelaaniwa kila rais tunakutana na kimeo
Acha kuwa akili mgando wewe mikopo kwaajili ya kujenga miundo mbinu haina tatizo kabisa kwa watu wenye akili.
 
Back
Top Bottom