Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Ccm ni kichaka cha kuwachekeshaAma kweli kimeumana!
Video nimekuwekea hapo chini na kilichonistaajabisha mwishoni mwa video shuhudia mwenyewe burungutu la minoti akiwahonga waandishi wa habari eti ya nauli.
View attachment 2060683
Siyo hongo ni bahasha ya kaki.Ama kweli kimeumana!
Video nimekuwekea hapo chini na kilichonistaajabisha mwishoni mwa video shuhudia mwenyewe burungutu la minoti akiwahonga waandishi wa habari eti ya nauli.
View attachment 2060683
Hao mapunguwani wawili walikuwa wanaipeleka nchi kuzimu.Job Ndugai hana hadhi ya kuwa spika sema ni vile alikuwa anabebwa na punguani mwenzie lakini eti naye ameanza kuvimba. Maajabu haya!
CCM tumerogwa?
Khaa!
Job Ndugai hana hadhi ya kuwa spika sema ni vile alikuwa anabebwa na punguani mwenzie lakini eti naye ameanza kuvimba. Maajabu haya!
Mnafki mkubwa huyo, kama ana uchungu na Tax payers awaondowe bungeni kwanza wahuni wenzake wa covid 19 wanaopokea mshahara haram ilihali siyo wabunge.Spika kasema ukweli baada ya akili kumrudi ,ila kwanini ccm kila anayepinga aonekane msaliti kwa vitu vya msingi?mama anakopa utadhani mikoba ya wanawake kumbe anakopea nchi huyu mama aache shobo za kukupa
Pesa za TOZO na mikopo hizo. MaCCM ni MAJIZIAma kweli kimeumana!
Video nimekuwekea hapo chini na kilichonistaajabisha mwishoni mwa video shuhudia mwenyewe burungutu la minoti akiwahonga waandishi wa habari eti ya nauli.
View attachment 2060683
Pesa nyingi zinaishia kwenye mifuko yao ndio maana siku hizi unaona kampuni kama lake oil imeshamiri kwa kasi ya ajabuSpika kasema ukweli baada ya akili kumrudi ,ila kwanini ccm kila anayepinga aonekane msaliti kwa vitu vya msingi?mama anakopa utadhani mikoba ya wanawake kumbe anakopea nchi huyu mama aache shobo za kukopa,nchi ndo inalipa..Tanzania tumelaaniwa kila rais tunakutana na kimeo
Tumerudishiwa musiba kivingine, Musiba wa SAMIA huyo.. MaCCM mnastahili kufukiwa yakiwa haiCCM tumerogwa?
Khaa!
mkuu Matola ngoja nikuambie kitu,huyu spika ni sukuma gang,na hao covid 19 wameingia kwa mgongo wa sukuma gang,mama anazingua sana ila pia kama sukuma gang wamejishtukia kwahiyo wanafanya juu chini mama aonekane mbaya ingawa pia mama anakopa sana. Najiuliza mama alikuwa makamu wa sukuma gang sasa hivi amewakataa,je 2025 itakwajeMnafki mkubwa huyo, kama ana uchungu na Tax payers awaondowe bungeni kwanza wahuni wenzake wa covid 19 wanaopokea mshahara haram ilihali siyo wabunge.
Acha kuwa akili mgando wewe mikopo kwaajili ya kujenga miundo mbinu haina tatizo kabisa kwa watu wenye akili.Spika kasema ukweli baada ya akili kumrudi ,ila kwanini ccm kila anayepinga aonekane msaliti kwa vitu vya msingi?mama anakopa utadhani mikoba ya wanawake kumbe anakopea nchi huyu mama aache shobo za kukopa,nchi ndo inalipa..Tanzania tumelaaniwa kila rais tunakutana na kimeo
Nafasi za MaDAS bado zipo
Huyu Kafufuka Kweli Teuzi Bado Zipo
Lake oil ndio wameshika nchi.Pesa nyingi zinaishia kwenye mifuko yao ndio maana siku hizi unaona kampuni kama lake oil imeshamiri kwa kasi ya ajabu