Akili sio nywele kwani ingekuwa nywele sidhani kama maneno kama hayo yangeweza postiwa hapa kumtukana mtu asiyekuwa na madhara au kukukwaza wewe, mfaham kuwa Mungu hutuumba na kututafutia riziki kwa namna tofauti tofauti, Sioni shida kwa kijana huyo asiyekuwa na makuu na mtu pia anaishi maisha bora zaidi ya hawa wote wanao mdiss,na pia anadhaminika,Sasa kelele za nini kwa mtu huyo??
MFAHAMu KUWA, UKIKAA KARIBU NA UWARIDI NAWE UTANUKIA, ameamua kukaa karibu na mtu ambaye kwa namna moja au nyingine amekuwa source ya yeye kupata pesa, Pia msisahau ukaribu wake madame ndio ulikuwa source ya kumwoa mdogo wa Diamond, hivi hamwoni kama yupo kwa sababu ana gain?
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums