Petiman: Bora ninyang'anywe Mke kuliko kuachana na Wema Sepetu

Jamani nasikia huyu Petit ni meneja wa msanii mirror ambaye uyo mirror yuko chini ya wema
 
aisee make up mbaya angalia uso wa wema kwenye hiyo picha yupo kama mnyama
 
sishangai kabisa kwani alishawahi kukataa mipango ya kazi na kina kavira kisa wema!
 
Ila aliyefanya makeup kwa wema hii siku lazma alikuwa ana beef nae!!
Cha kumremba kama jike la chui wa serengeti niiiini??
 
sishangai kabisa kwani alishawahi kukataa mipango ya kazi na kina kavira kisa wema!

Kavira yule handsome boy? Si niliskia kashamfanya mchezo mbaya petii, alitaka ampe dili gani tena??
 
Huyu "WANJERA" nae atafute mume aolewe, akumbuke hata bibi alikuwa binti
 
Sikapend kanavyojishau kale nfyuu

Yaan ni mzuri hiyo sura alifaa awe nayo Esma sura ngumu😁😁😁😁hivi kajifungua na ni wangapi huyoo mtoto
 
Yaan ni mzuri hiyo sura alifaa awe nayo Esma sura ngumu😁😁😁😁hivi kajifungua na ni wangapi huyoo mtoto

Sura si imekuja alivyojuana na wema? Ulimuona kabla hajawa n wema? Usinichefue apa nfyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…