Petit Man, Esma mahaba upya

Petit Man, Esma mahaba upya

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Dada wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ?Diamond ,? Esma Abdul amerudisha mahaba na aliyekuwa mumewe , Hamad Manungwa ?Petit man ? baada ya kudaiwa kutengana , tena kwa talaka tatu .

Akizungumza na gazeti hili hivi karibuni , mpashaji wetu alisema Esma na Petit kwa sasa wako katika mapenzi motomoto na hivi karibuni walionekana pamoja wakiwa nyumbani kwa Wema Sepetu na mtoto wao , Taraj.

Gazeti hili lilimtafuta mwanaume huyo na kumuuliza juu ya ubuyu huo ambapo alisema ; ? Bado tuko kwenye maongezi , lakini sisi ni wazazi na hata juzi tulimpeleka mtoto kwa bibi yake ambaye ni Wema amuone , maana yule ni mtu muhimu sana kwangu,? alisema Petit man .
 
Bibi wema 😂😂😂😂
 
Hivi huyo dem sorry hako kajamaa kanafanya kazi gani kwa bibi bomba ??????????
 
nimeamini kweli uyu demu anarudishaga umri nyuma na zile michiriz sijui kunyanzi inaezekana kweli ni nyanya

Mtasingizia na kurudisha umri nyuma!
Mavipodozi hayo yanawaparura ngozi.
Alafu wanajipodoa tu malengolessly hawajui hata lishe wala mazoezi kwanini yasiwadodee??!
 
Pole kwa Mrs super staa kudandia penzi la watu kujitia yeye ndo yeye mfaidika wa kuvunjika kwa pakacha, esma ana ugonvi na pepit ye ndo kajifanya kacover nafasi ya esma yupo bize na petit na pua yake kama embe shwain....
Wapendanao wamerudiana sijui akaweka wapi ile sura ya mviringo
 
Hivi huyo dem sorry hako kajamaa kanafanya kazi gani kwa bibi bomba ??????????
Ana pesa nyingi sana yule jamaa ni promoter na pia ni drug dealer na assistance endless fame manager wa wema sepetunga sikiza amerudi na ameondoka bellachristian kamtaja sana kwenye nyombo zake
Huyu petit man ana mishe gani hapo town?
 
Ana pesa nyingi sana yule jamaa ni promoter na pia ni drug dealer na assistance endless fame manager wa wema sepetunga sikiza amerudi na ameondoka bellachristian kamtaja sana kwenye nyombo zake

Haaaaah et drug dealer we jamaa bhn
 
Hivi huyo petitman kazi yake hasa ni ipi hapa mjini?
sipatagi jibu kabisa
 
Dinazarde upo? Au ushatangulia mbele ya haki mbea mwenzetu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom