Petit Man, Esma mahaba upya

Hahaaaaa hatareee mi nilivomuonaga bba nilimshangaa vitabia vyake tu nikajua game strategy kumbe walishaanzaga kumzibua

ndio vijana hao wanaume wamebaki wachache.......ila kma kweli jamaa yuko poa siamini sana hilo ila lisemwalo lipo...tusije sikia n kuna la wajinga nalo lowbetri
 
Fani za watu bhana, kwa nin tusiombee mechi za umbea na nchi jiran, wajue na sis tupo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…