Petitman Amuiga Diamond, Ajikakamua na Kumzawadia Mke wake Zawadi ya Gari Siku ya Kuzaliwa Kwake

Petitman Amuiga Diamond, Ajikakamua na Kumzawadia Mke wake Zawadi ya Gari Siku ya Kuzaliwa Kwake

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Mjanja wa Mjini Kijana Petitman Wakuache ambae ni Shemeji wa Mwanamuziki Diamond Jana Ameendeleza Series ya zawadi za Magari kwenye sherehe za kuzaliwa baada ya kumzawadia mke wake gari aina ya Toyota Porte...
 
duh watu mnaandika tu bila kufikiria,sasa Dangote ampe gari Petit ili amzawadie mkewe ili iweje,kwani jamaa anashindwa kumzawadia mkewe

uliwahi kuandika bila kufikiri? basi we utakua mwehu au mfu.
 
Ukiuliza jamaa anafanya kazi gani hapa mjini..utapata majibu mia kidogo..
 
Back
Top Bottom