B Binti mzuri Member Joined Jun 1, 2014 Posts 16 Reaction score 4 Feb 16, 2015 #41 Hakuna kuiga hapo hayo ni mapenzi n Upendo
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,058 Reaction score 2,195 Feb 17, 2015 #42 Hvi huyu jamaa anafanya kazi gan hapa town,maana muda wote namuona anadhurura na wema tu?
Lusungo JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 28,259 Reaction score 41,416 Feb 17, 2015 #43 Perry said: Hvi huyu jamaa anafanya kazi gan hapa town,maana muda wote namuona anadhurura na wema tu? Click to expand... We unafanya kazi gani mpaka huo muda wote unawatazama? Yaani umeingia gharama ya kuwatazama kila muda wakizurura ye na Wema...
Perry said: Hvi huyu jamaa anafanya kazi gan hapa town,maana muda wote namuona anadhurura na wema tu? Click to expand... We unafanya kazi gani mpaka huo muda wote unawatazama? Yaani umeingia gharama ya kuwatazama kila muda wakizurura ye na Wema...
C Chakulagani JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 271 Reaction score 51 Feb 17, 2015 #44 perry jinga saaaana,una kazi ya kutazama tuuu wenzio???mwanaume mjinga saaana wewe