Gangi Longa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2010
- 275
- 135
The same report puts tanzania at number 3.Kenya sixth poorest in Africa, report says
Lower middle income country[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Leave the guy alone, he always puts up links to sources that he has no idea what the hell they talk about. Just check out the electricity connectivity thread.The same report puts tanzania at number 3.
You are mentally sick, who said that Tanzania is not poor?, I gave you a link to stop you from comparing Kenya with South Africa, Egypt as you always do, you have been talking about bigger GDP and name Tanzania is ldc, but you are number six in Africa, how does your bigger GDP helps?Leave the guy alone, he always puts up links to sources that he has no idea what the hell they talk about. Just check out the electricity connectivity thread.
Acha kumtolea povu Mkenya mwenzako [emoji1]. Halafu wewe ndyo mkabila yy yuko proud na kabila lake haja abuse kabila lingine..Wewe kama huwezi tumia ile username yako ya kawaida, basi ishia tu, acha ushamba, ukabila na ujinga , ongeza na ujinga mwingine juu yake! Yaani jf nzima hakuna mtu yeyote mwingine ambaye username yake inaanza na jina la kabila lolote lile.
Huko kuchanga kodi mara mbili tunataka kuwe kunaonekana katika maisha ya mwananchi wa kawaida, au mnawachangia Uhuru na Rutto?, mbona hata chakula hakuna?, mbona hakuna employment, mbona bei ya Petrol ni kubwa kuliko Uganda more than 1000km from Mombasa port, mbona inflation is the highest in EA?, mbona nchi inakaribia kufilisika kwa madeni?, hizo sifa za kuchanga kodi mara mbili hiyo pesa mnapeleka wapi?Kenya inachanga kodi Ambayo iko karibu mara dufu ya Tz.... What do you expecti!
In 2016 we had the cheapest pretrolium prices in EAC, Alafu in Kenya price of petrol , but it takes time for prices to change kwasababu kenya tuko na storage tanks kubwa za Mafuta...
Anyway, if you remove the expensive taxes, Kenya super petrol would be between 55-60ksh
Sasa mtu akija na upumbavu, kwasababu tu ni mkenya eti ndo tumuache? Huyo ni mtu, sitaki kumtaja kwa jina, ambaye amekuja na username nyingine baada ya kukosa hoja hapa hapa Kenya News.Acha kumtolea povu Mkenya mwenzako [emoji1]. Halafu wewe ndyo mkabila yy yuko proud na kabila lake haja abuse kabila lingine..
naona bado unatoa povu... huyu ni Mkenya mgeni inapaswa umpe warm welcome siyo kumwagia mapovu ya jamaa soap [emoji1]Sasa mtu akija na upumbavu, kwasababu tu ni mkenya eti ndo tumuache? Huyo ni mtu, sitaki kumtaja kwa jina, ambaye amekuja na username nyingine baada ya kukosa hoja hapa hapa Kenya News.
Kenya inachanga kodi Ambayo iko karibu mara dufu ya Tz.... What do you expecti!
In 2016 we had the cheapest pretrolium prices in EAC, Alafu in Kenya price of petrol , but it takes time for prices to change kwasababu kenya tuko na storage tanks kubwa za Mafuta...
Anyway, if you remove the expensive taxes, Kenya super petrol would be between 55-60ksh
Si ni mwaka jana tu, World Bank ilifananisha ma nurse wetu kuwa sawa na madaktari wenu.Huko kuchanga kodi mara mbili tunataka kuwe kunaonekana katika maisha ya mwananchi wa kawaida, au mnawachangia Uhuru na Rutto?, mbona hata chakula hakuna?, mbona hakuna employment, mbona bei ya Petrol ni kubwa kuliko Uganda more than 1000km from Mombasa port, mbona inflation is the highest in EA?, mbona nchi inakaribia kufilisika kwa madeni?, hizo sifa za kuchanga kodi mara mbili hiyo pesa mnapeleka wapi?
Ninaanza kuamini kwamba wewe unaishi Kibera, mbona umechanganyikiwa kiasi hiki?, kati ya hayo niliyokuuliza yana uhusiano gani na hili ulilojibu?, au kwasababu huna majibu ya hayo niliyouliza umeamua kujibu hovyo hovyo?, is that one of the signs of a failed state effect?Si ni mwaka jana tu, World Bank ilifananisha ma nurse wetu kuwa sawa na madaktari wenu
Wewe ndo hauna uwezo wa kufikiria, sikuhizi watz wengi wamejishusha hadhi wako na arguments za kijinga kabisa....Ninaanza kuamini kwamba wewe unaishi Kibera, mbona umechanganyikiwa kiasi hiki?, kati ya hayo niliyokuuliza yana uhusiano gani na hili ulilojibu?, au kwasababu huna majibu ya hayo niliyouliza umeamua kujibu hovyo hovyo?, is that one of the signs of a failed state effect?
Ina maana Kenya ndiyo nchi inayotoza kodi pekee, Uganda haitozi kodi?, zaidi ya kutoza kodi, Uganda inalipia gharama za kusafirisha mafuta hadi kwao, Kenya hamsafirishi mafuta, bado bei ya Uganda ipo chini kuliko KenyaSi ni mwaka jana tu, World Bank ilifananisha ma nurse wetu kuwa sawa na madaktari wenu.
Kwa ile ripoti ya twaweza si ilionyesha watoto maskini wa Kenya wanashinda watoto matajiri wa Tz kwa masomo. Tena ingawa ile ripoti ya WEF ya financial inclusion haikuweka Kenya kwa overal ranking kwasababu ya ukosefu wa data ya miaka tano iliopita, lakini kwa data ya 2017, Kenya inaongoza number 1 kwa quality education... Unafikiri hizo pesa zinatoka wapi.
Soma hii ripoti uelewe, 42% ya bei ya mafuta inaenda kulipa kodi tofauti
Start of new road levy pushes up fuel cost
State to retain 1.5pc rail levy to fund new projects
Ulisema Kenya inakusanya pesa nyingi kuliko Tanzania, nikakuambia lengo la kukusanya pesa nyingi ni ili kupunguza shida za wananchi, sasa kwanini pamoja na kukusanya hiyo pesa nyingi bado chakula, unemployment, security, corruption, water, poor sanitation, slums, National debts, ni matatizo makubwa yanayosumbua Kenya?, huku Tanzania pamoja na kukusanya pesa ndogo lakini hatuna hayo matatizo?, wewe unakuja na habari ya nurses na doctors, are you confused man from confused failed state?Wewe ndo hauna uwezo wa kufikiria, sikuhizi watz wengi wamejishusha hadhi wako na arguments za kijinga kabisa....
Unajus
Hata hapa Kenya mafuta si bei Sawa, ya kisumu ni ghali kuliko ya voi kwasababu ya transport cost . Lakini bado kodi ni kubwa kuliko kodi ya Uganda,Ina maana Kenya ndiyo nchi inayotoza kodi pekee, Uganda haitozi kodi?, zaidi ya kutoza kodi, Uganda inalipia gharama za kusafirisha mafuta hadi kwao, Kenya hamsafirishi mafuta, bado bei ya Uganda ipo chini kuliko Kenya
Kweli hauna thinking capacity .... Haya basi nieleze inakuaje baada ya hizo changamoto zote zinazokumba Kenya, mkenya Anaishi maisha marefu kuliko mTanzania?Ulisema Kenya inakusanya pesa nyingi kuliko Tanzania, nikakuambia lengo la kukusanya pesa nyingi ni ili kupunguza shida za wananchi, sasa kwanini pamoja na kukusanya hiyo pesa nyingi bado chakula, unemployment, security, corruption, water, poor sanitation, slums, National debts, ni matatizo makubwa yanayosumbua Kenya?, huku Tanzania pamoja na kukusanya pesa ndogo lakini hatuna hayo matatizo?, wewe unakuja na habari ya nurses na doctors, are you confused man from confused failed state?
Sasa kuna faida gani ya kuwa na bandari kama gharama za maisha kwa mwananchi wa kawaida, hasa kwa imported goods zinakuwa kubwa kuliko landlocked countries?Hata hapa Kenya mafuta si bei Sawa, ya kisumu ni ghali kuliko ya voi kwasababu ya transport cost . Lakini bado kodi ni kubwa kuliko kodi ya Uganda,
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] Sasa tutakuwa tunaulizana maswali bila majibu, mimi nimekuuliza maswali, badala ya kujibu kwanza ndiyo uniulize maswali yako, wewe unaweka maswali juu ya maswali yangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kweli hauna thinking capacity .... Haya basi nieleze inakuaje baada ya hizo changamoto zote zinazokumba Kenya, mkenya Anaishi maisha marefu kuliko mTanzania?
kama vipi tuichukue bandari yetu ya mombasa, naona tumewapa wameshindwa kuiiendeleza.Sasa kuna faida gani ya kuwa na bandari kama gharama za maisha kwa mwananchi wa kawaida, hasa kwa imported goods zinakuwa kubwa kuliko landlocked countries?