Petrol in Tanzania Ksh 95. Uganda Ksh 101. Kenya is going to be Ksh 108

Sasa kuna faida gani ya kuwa na bandari kama gharama za maisha kwa mwananchi wa kawaida, hasa kwa imported goods zinakuwa kubwa kuliko landlocked countries?
Faida ni kwamba siku moja watoto au wajukuu watakuja enjoy free quality university,free healthcare ....
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] Sasa tutakuwa tunaulizana maswali bila majibu, mimi nimekuuliza maswali, badala ya kujibu kwanza ndiyo uniulize maswali yako, wewe unaweka maswali juu ya maswali yangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwasababu hilo swali langu ni jibu tosha la swali lako, lakini vile Hautaki kufikiria...you miss the point.
Swali lengine basi ambalo linagusia uhusiano kati ya njaa,umaskini na elimu,daktari/afya ni... "inakuaje ni Kenya yenye changamoto za njaa lakini ni Tanzania inayoongoza kwa 'stunded growth' Ambayo inasababishwa na lack of nutrient
 
Faida ni kwamba siku moja watoto au wajukuu watakuja enjoy free quality university,free healthcare ....
Sasa mbona Tanzania hivyo vyote vinapatikana na bado bei ya mafuta ipo chini?. Ukweli ni kwamba corruption, nepotism, and poor leadership are killing your failed state.
 
Basi kama umeamua kuendelea kuuliza maswali, ngoja na mimi niendelee kukuuliza, inakuaje kama Kenya inakusanya pesa nyingi, lakini Tanzania ina best public Hospitals than Kenya?
 
Basi kama umeamua kuendelea kuuliza maswali, ngoja na mimi niendelee kukuuliza, inakuaje kama Kenya inakusanya pesa nyingi, lakini Tanzania ina best public Hospitals than Kenya?
Based on what data, nakupa na ushahidi.... A kenyan nurse performs same level as a Ugandan doctor.... A Tanzanian doctor is one point below a Ugandan doctor! Sasa hata sijui utalinganisha na nani kenya, labda mortuary cleaner

Ugandan doctors rank low in region - Economic Policy Research Centre



The report says that 42% of Uganda medics cannot accurately diagnose major diseases. The situation is worse in public health centres offering only outpatient services where half of the providers diagnosed none or only one of five tracer conditions.
An estimated 58% of Uganda's medics got the diagnosis accurate, compared to 72% in Kenya, 57% in Tanzania and 34% in Senegal.
Ugandan public providers managed to correctly diagnose only slightly more than half (56%) of the trace conditions. Only 35% of public health providers could correctly diagnose at least four out of five common conditions (like diahoria with dehydration and malaria with anemia).
"Worryingly, public providers followed only one out of five (20%) of the correction actions needed to manage maternal and neonatal complications,? the report states.
Even when providers correctly diagnose a condition there no guarantee the patient will be treated.
"Indeed the correct treatment was rrecommended in only 36%of the cases, reflecting Weak provider knowledge,? says the service Delivery report whose aim the World Bank said, Is to spur accountability.
"Doctors in Uganda performed at about the Same level as Kenyan nurses on both diagnostic accuracy and the capability to provide full treatment, "it adds.
The SDI initiative is a partnership of the World Bank, the African economic research
Consortium and the African Development Bank to track service delivery performance in sub-Saharan Africa over time.
The preliminary report, launched in November last year was based on surveys of about 400 Health facilities and nearly 2500 health providers Country wide.
The researchers assessed quality in the Health sector using two indicators: adherence Clinical guidelines in five tracer conditions and the management of maternal and newborn complications; and diagnostic accuracy in five tracer conditions.
Three of the tracer conditions were child hood conditions (malaria with anaemia acute)
Diarrhoea with severe dehydration and pneumonia), and two were adult conditions (pulmonary tuberculosis and diabetes mellitus).
The other two conditions included post-partum haemorrhage, the most common cause of material death during birth and neonatal asphyxia, which is the most common cause of neonatal death during birth.
Uganda performed better than Kenya on input indicators and adherence to guidelines. However, Kenya health providers were 20% more likely to get the diagnosis right and were twice as likely to correctly manage maternal and neonatal complications.
Health providers in Senegal and Tanzania performed poorly compared to Uganda and Kenya on diagnostic accuracy, adherence to guidelines and input indicators.
Although almost nine out of 10 (88%) providers were able to correctly diagnose pulmonary tuberculosis, nearly half (47%) did not prescribe the correct treatment required.
Malaria and anaemia were the least likely to be correctly diagnosed and less than one in 10 receiving the correct treatment.
"It is particularly worrying that so few health providers were able to even diagnose potentially deadly conditions such as malaria and diarrhoea," the report says.
Health providers in private health facilities were not consistently better than their counter parts in the public sector .Also, there were large differences across different parts of the country, with health providers in northern Uganda being the worst performers.
Uganda medics (48%) were, however, the best in adhering to clinical guidelines, followed by medics in Kenya (44%), Tanzania (34%) and then Senegal (22%).
 
Ina maana Kenya ndiyo nchi inayotoza kodi pekee, Uganda haitozi kodi?, zaidi ya kutoza kodi, Uganda inalipia gharama za kusafirisha mafuta hadi kwao, Kenya hamsafirishi mafuta, bado bei ya Uganda ipo chini kuliko Kenya
Mheshimiwa issue hapo siyo ughali wa mafuta, issue ni huduma za kijamii zikoje ktk dhana ya ubora, inawezekana mafuta yakawa cheap ukilinganisha tanzania na nchi jirani lkn ulishapima huduma za kijamii kwa maana ya elimu na afya zipo ktk ubora gani ukilinganisha tanzania na nchi jirani?
 
Hii report umeitoa wapi na ilifanywa na which reputable and recognized institution?, ubora wa timu ya mpira unapimwa kwa idadi ya michezo iliyocheza na kushinda, hasa hasa ile michezo migumu, ubora wa jeshi unapimwa kwa vita walivyoshiriki nankushinda. Ubora wa Hospitali unapimwa kwa idadi ya complicated procedure walizofanya na kufanikisha, sio maneno na report za Twaweza ziwe ndiyo kigezo.
 
Lazima kuwepo na starting point, katika hili la mafuta ni start point kwasababu ni measurable na lina multiply effects, bei ya mafuta ikipanda, tegemea vitu vingi sana kupanda. Kuna vitu vinaitwa pro indicators, yaani ukiona kuna mawingu mazito, hiyo siku tegemea mvua kali.
 
hehehe,hawa wabongo niwakuhurumiwaπŸ˜€
 
Hili ni swali kama lile la x+y=xy; Kama muuguzi wa Kenya ni sawa na daktari wa Tz. Ina maana kuwa muuguzi wa Tz ni sawa na daktari wa kienyeji wa Kenya? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Wewe kama huwezi tumia ile username yako ya kawaida, basi ishia tu, acha ushamba, ukabila na ujinga , ongeza na ujinga mwingine juu yake! Yaani jf nzima hakuna mtu yeyote mwingine ambaye username yake inaanza na jina la kabila lolote lile.
Listen up fella. The price of crude has gone down. Why the price of petrol in kenya has hiked is only because of cartels (uhuru & ruto) U want me to show support for high prices? you must be mad and stupid. You are yapping here about free primary education & shit that has forced parents to opt for private schools because of low quality? Muache kuwa hadaa wa TZ about the real situatiob in kenya.
Go collect your 1027/- bob from itumbi for your propaganda today
 
Hongera kwa kusema ukweli, ila hawezi kutuhadaa watanzania japo anajitahidi kufanya hivyo, sisi tunaijua vizuri hali ya mambo huko Kenya, Kenya kwa ufupi ni nchi inayoelekea kubaya sana, ukisoma vizuri hiyo link inayoitaja Kenya kuwa ni failed state, imesema kwamba Kenya iko katika hali mbaya ya kusambaratika kuliko hata North Korea.
Kenya ranked as 'failed state'
 
Nenda Muhimbili ukamuone nesi ama uje Kenya ukamuone daktari. Hehehe. πŸ˜€
Wamejaa wakenya wenzako huku Ocean Road cancer Institute, which is the biggest and ultra modern cancer centre in East and central Africa, endelea na kupiga kelele za failed state[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…