pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Wanatibiwa na wale wale manesi wa Tz, walompaka Tundu Lissu Vicks, kisha wakamtilia barua mfukoni, ya kumueleza arudi home na kwamba asijali atapona? 😀😀😀Wamejaa wakenya wenzako huku Ocean Road cancer Institute, which is the biggest and ultra modern cancer centre in East and central Africa, endelea na kupiga kelele za failed state[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Si unajua kwamba first class Hospitals za a failed state ni third class Hospitals katika non failed state?[emoji14] [emoji14] [emoji14]Wanatibiwa na wale wale manesi wa Tz, walompaka Tundu Lissu Vicks, kisha wakamtilia barua mfukoni, ya kumueleza arudi home atapona? 😀
WA TZ, Msiwachukulie hawa wakenya waliopo hapa kuwa serious, the Jubilee Gvt has a special team of propagandists who the tax payer pays between 527/- and 1027 bob per day. Kazi yao ni kuificha uchi serikali ya jubilee na kuivisha kamisi kila siku. Wana chukia Mhe JPM sababu yeye amekataa nchi yake iwe soko kubwa ya Ma bwenyenye wa nchi zingine sana sana kenyaHongera kwa kusema ukweli, ila hawezi kutuhadaa watanzania japo anajitahidi kufanya hivyo, sisi tunaijua vizuri hali ya mambo huko Kenya, Kenya kwa ufupi ni nchi inayoelekea kubaya sana, ukisoma vizuri hiyo link inayoitaja Kenya kuwa ni failed state, imesema kwamba Kenya iko katika hali mbaya ya kusambaratika kuliko hata North Korea.
Kenya ranked as 'failed state'
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]WA TZ, Msiwachukulie hawa wakenya waliopo hapa kuwa serious, the Jubilee Gvt has a special team of propagandists who the tax payer pays between 527/- and 1027 bob per day. Kazi yao ni kuificha uchi serikali ya jubilee na kuivisha kamisi kila siku. Wana chukia Mhe JPM sababu yeye amekataa nchi yake iwe soko kubwa ya Ma bwenyenye wa nchi zingine sana sana kenya
Sawa basi ila mkumbuke kulipa zile hela za matibabu ya Tundu Lisu pale hospitalini Nairobi. Msidhani tumesahau hayo. Mwingine akipigwa risasi msiogope kumleta Kenya. Lakini maiti kama ile ya juzi juzi mbaki nayo huko huko Tz.Si unajua kwamba first class Hospitals za a failed state ni third class Hospitals katika non failed state?[emoji14] [emoji14] [emoji14]
Tunalijua hilo vizuri sana, wanamchukia sana JPM kwasababu amemzidi ujanja Uhuru Kenyatta, sasa hivi janja janja zote za Jubilee zimegonga mwamba, wamebaki kukasirika na kurusha mikono hewani kwa hasira, na kumpaka matope ya kila aina uncle Magu.WA TZ, Msiwachukulie hawa wakenya waliopo hapa kuwa serious, the Jubilee Gvt has a special team of propagandists who the tax payer pays between 527/- and 1027 bob per day. Kazi yao ni kuificha uchi serikali ya jubilee na kuivisha kamisi kila siku. Wana chukia Mhe JPM sababu yeye amekataa nchi yake iwe soko kubwa ya Ma bwenyenye wa nchi zingine sana sana kenya
Kwanza Nairobi Hospital is not owned by GoK, hata pesa ikiingia serikali haipati kitu, pesa inaenda mifukoni mwa watu wachache walioshika uchumi wote wa Kenya.Sawa basi ila mkumbuke kulipa zile hela za matibabu ya Tundu Lisu pale hospitalini Nairobi. Msidhani tumesahau hayo. Mwingine akipigwa risasi msiogope kumleta Kenya. Lakini maiti kama ile ya juzi juzi mbaki nayo huko huko Tz.
Eti rafiki ya nani? 😀😀 Unadhani wakenya hata wanajua Tundu Lissu ni nani? Labda tu wale ambao wapo hapa jf. Hata viongozi wa Kenya huwa hawafatilii hizo siasa za peni mbili za Tz. Am sorry to burst your bubble, but Tz doesn't really exist in Kenya's reality! 😀😀😀Kwanza Nairobi Hospital is not owned by GoK, hata pesa ikiingia serikali haipati kitu, pesa inaenda mifukoni mwa watu wachache walioshika uchumi wote wa Kenya.
Pili Lissu alikuja huko kufuate rafiki zao wa Jubilee, kwahiyo pesa yote inapaswa kulipwa na Serikali ya Jubilee.
It is true that Tanzania doesn't exist in Kenya, the main reason for that is, Kenya is a failed state while Tanzania isn't.Eti rafiki ya nani? 😀😀😀: Unadhani wakenya hata wanajua Tundu Lissu ni nani? Labda tu wale ambao wapo hapa jf. Hata viongozi wa Kenya huwa hawafatilii hizo siasa za peni mbili za Tz! Am sorry to say, but Tz doesn't really exist in Kenya's reality! 😀😀
😀😀😀 Pole sana! Wakati wewe mtz unataja Jubilee na NASA kila siku, wakenya wengi hata hawajui makumu rais wa Tz ni nani. Ukitaja Tundu na sijui Ukawa au ni Chadema utashangaa kusikia wakiuliza kama hayo ni majina kutoka Zimbabwe au Zambia! Niulize mimi, nimejaribu, lakini Kenyans just don't give a fudge about Tz.It is true that Tanzania doesn't exist in Kenya, the main reason for that is, Kenya is a failed state while Tanzania isn't.
Najua unatafuta kila aina ya njia kuficha ukweli... Ripoti yenyewe ni ya World Bank! It doesn't get more reputable than that...vigezo hivyo vinaitwa SDI service delivery indicators, inapima viwango vya Elimu na Afya, na katika hio SDI ya world bank, Kenya inaongoza katika elimu bora na afya bora.Hii report umeitoa wapi na ilifanywa na which reputable and recognized institution?, ubora wa timu ya mpira unapimwa kwa idadi ya michezo iliyocheza na kushinda, hasa hasa ile michezo migumu, ubora wa jeshi unapimwa kwa vita walivyoshiriki nankushinda. Ubora wa Hospitali unapimwa kwa idadi ya complicated procedure walizofanya na kufanikisha, sio maneno na report za Twaweza ziwe ndiyo kigezo.
Naomba hiyo link ili nisome, kama mimi ninavyokupa linkNajua unatafuta kila aina ya njia kuficha ukweli... Ripoti yenyewe ni ya World Bank! It doesn't get more reputable than that...vigezo hivyo vinaitwa SDI service delivery indicators, inapima viwango vya Elimu na Afya, na katika hio SDI ya world bank, Kenya inaongoza katika elimu bora na afya bora
Kenya ranked as 'failed state'Najua unatafuta kila aina ya njia kuficha ukweli... Ripoti yenyewe ni ya World Bank! It doesn't get more reputable than that...vigezo hivyo vinaitwa SDI service delivery indicators, inapima viwango vya Elimu na Afya, na katika hio SDI ya world bank, Kenya inaongoza katika elimu bora na afya bora
Ripoti yenyewe ya WB ndo hioNaomba hiyo link ili nisome, kama mimi ninavyokupa link
8,300 super-wealthy control two-thirds of Kenya’s economy
Which kenyan education are you trumpeting here? Joho 001? ama uhuru amhrest dropout degree? Fake certs all over so many within jubilee kleptocracy
tz ni Buree elimu, kidato cha pili hawajui kusoma wala kuandika. Mtoto darsa la saba hawezi kusoma kitabu cha kiingereza cha darasa la pili. Ama kweli Elimu Bure bongoInafanyika sana Tanzania. Magufuli sio mtu wakuchezeaView attachment 696424View attachment 696425View attachment 696426
[emoji23]Hii ya
tz ni Buree elimu, kidato cha pili hawajui kusoma wala kuandika. Mtoto darsa la saba hawezi kusoma kitabu cha kiingereza cha darasa la pili. Ama kweli Elimu Bure bongo
Unaokena wewe na jamaa zako humjawahi kumiliki gari na hunamatumaini ya kumiliki gari. Pill hufanyi research hata kidogo. Kichwani umejaza makamasi ya kutoshaHuwezi linganisha bei ya petrol za lower middle class na LDC.
Enda nigeria,SA,ghana ujione mwenyewe.
Ata nchi zilizoendelea kama US na Canada bei iko juu sana
my own layman's observation goes thus. ..Economists help us understand thisView attachment 696391