Petrol Station Gani inauza wese lisilochakachuliwa?

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
56,205
Reaction score
79,515
Kuna rafiki yangu kutoka japani amenitumia Gari GX110 D-4 Engine sasa nisingeweza kulikataa,Je sehemu gani wanauza mafuta yasiyochakachuliwa?
 
PUMA..., Zamani BP iliyopo pale nyuma ya ofisi za jengo la ex-telecom au nyuma ya jengo la ofisi za TRA samora..., jamaa wazuri sana.
 
Ok si ndio pale kwenye Round About(Keep left) karibia na Billcanas?
 
kwani wewe uko wapi!!unaweza kujaribu kituo cha pale msoga!
 
Haaaaaaa By Default mtu asipoweka location basi ujue yupo Dar-es-salaam,si unajua tena jiji kubwa watu wanauza viwanja,mafriji,deck mradi wapate nauli ya kuja dsm(by mpoki)
 
ha ha ha ha ha!!hata dar kubwa kwani naweza kukuelekeza kituo kilichopo gongolamboto wakati wewe uko bunju!!
 
Kuna rafiki yangu kutoka japani amenitumia Gari GX110 D-4 Engine sasa nisingeweza kulikataa,Je sehemu gani wanauza mafuta yasiyochakachuliwa?
King Kong III eti nisingeweza kulikataaa!!!!! D 4 kimeo bandugu lakini usiogope kama umeshagundua engine hiyo mwiko wake ni mafuta ya kuchakachua basi siyo shida.
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha ha ha!!hata dar kubwa kwani naweza kukuelekeza kituo kilichopo gongolamboto wakati wewe uko bunju!!

Dsm ni Sinza,Mbezi Beach,Masaki,Oysterbay,Mikocheni,Posta,Kariakoo,Upanga,Mwenge..........Kama Hautoki maeneo hayo basi hupo nje ya mji na mtu lazia aspecify
 
@ kingkong...utakuwa unaenda huko kila siku ? hahahahhaha one day utawekewa ya kuchakachuliwa tu
 
Kuna rafiki yangu kutoka japani amenitumia Gari GX110 D-4 Engine sasa nisingeweza kulikataa,Je sehemu gani wanauza mafuta yasiyochakachuliwa?

Hahahahahaha....D4 engine.....umepewa bure au?
 
BP Mwenge, Bonjour Mcity (sema hawa nao siwaelEwi) Engene

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Kuna rafiki yangu kutoka japani amenitumia Gari GX110 D-4 Engine sasa nisingeweza kulikataa,Je sehemu gani wanauza mafuta yasiyochakachuliwa?
Mkuu, KK3, hongera kwa zawadi, kama rafiki unae na usimwangushe. Ushauri tu kwangu ni kwamba weka mafuta popote tu ila hakikisha unatembea na carton yako moja ya nosel and engine cleaner kwenye boot ya gari. Kila utakapoweka wese unamwaga kichupa kizima kwenye tank. Ndio tunavyoishi hapa mjini.
 
Thanks shareholder aka Mwanahisa! +Ushauri huu
 
@ kingkong...utakuwa unaenda huko kila siku ? hahahahhaha one day utawekewa ya kuchakachuliwa tu

Kwa Mwenge BP na BP ya billcanas easy kwangu halafu D4 ni kuweka full or 3/4 ujazo
 
Kaka jaribu tuone hapo Camel Oil maeneo ya kibaha na morogoro kama unaenda kihonda ni wazuri sana. (utarudi umeshusha tanki la mafuta lisafishwe!!!!!)
Kamwe usijaribu Camel Oil au Oilcom.
Engen Petroleum na Puma ndio the best.

Pili vituo vyote alongside Morogoro Road ogopa sana.
 
Okey tushajua una gari.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom