almaige Member Joined Mar 27, 2013 Posts 19 Reaction score 3 Jun 22, 2013 #1 Jamani nahitaji tofauti za hizo cozi.. na ipi ni nzuri sana zaidi ya nyingine!!
R ruhi JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 4,368 Reaction score 6,661 Jun 22, 2013 #2 ili iweje?, kwani wale wa PETROLEUM WANAFANYA PRACTCAL ZAO WAPI? KUNA VIWANDA VYA GESI CHUONI?
U ubarinolutu JF-Expert Member Joined Oct 22, 2012 Posts 2,424 Reaction score 4,954 Jun 22, 2013 #3 Huyo mtoto amechanganyikiwa, uzuri wa course inategemeana na maono yako, different people different opinion
Huyo mtoto amechanganyikiwa, uzuri wa course inategemeana na maono yako, different people different opinion
almaige Member Joined Mar 27, 2013 Posts 19 Reaction score 3 Jun 22, 2013 Thread starter #4 ubarinolutu said: Huyo mtoto amechanganyikiwa, uzuri wa course inategemeana na maono yako, different people different opinion Click to expand... duuh sasa mm nitaonaje kama hii ni nzuri bila ya kuwahusisha watu ambao washapitia hayo mambo kwa undani na kuyajuaa!!!
ubarinolutu said: Huyo mtoto amechanganyikiwa, uzuri wa course inategemeana na maono yako, different people different opinion Click to expand... duuh sasa mm nitaonaje kama hii ni nzuri bila ya kuwahusisha watu ambao washapitia hayo mambo kwa undani na kuyajuaa!!!
almaige Member Joined Mar 27, 2013 Posts 19 Reaction score 3 Jun 22, 2013 Thread starter #5 ruhi said: ili iweje?, kwani wale wa PETROLEUM WANAFANYA PRACTCAL ZAO WAPI? KUNA VIWANDA VYA GESI CHUONI? Click to expand... Sasa swali juu ya swali tutafikaaaa!!!???
ruhi said: ili iweje?, kwani wale wa PETROLEUM WANAFANYA PRACTCAL ZAO WAPI? KUNA VIWANDA VYA GESI CHUONI? Click to expand... Sasa swali juu ya swali tutafikaaaa!!!???
S Suma mziwanda kageye JF-Expert Member Joined Jul 5, 2012 Posts 213 Reaction score 25 Jun 22, 2013 #6 zote nzur coz wanategemeana ktk kaz petr geo ndo ananzafanya kaz yake baada yakumalza ndo anafuta petro eng
zote nzur coz wanategemeana ktk kaz petr geo ndo ananzafanya kaz yake baada yakumalza ndo anafuta petro eng
almaige Member Joined Mar 27, 2013 Posts 19 Reaction score 3 Jun 22, 2013 Thread starter #7 Suma mziwanda kageye said: zote nzur coz wanategemeana ktk kaz petr geo ndo ananzafanya kaz yake baada yakumalza ndo anafuta petro eng Click to expand... asante sana mkubwaa! Maana nilikuwa cjui hiloo.
Suma mziwanda kageye said: zote nzur coz wanategemeana ktk kaz petr geo ndo ananzafanya kaz yake baada yakumalza ndo anafuta petro eng Click to expand... asante sana mkubwaa! Maana nilikuwa cjui hiloo.