Petroleum Engineering

Petroleum Engineering

Kivule

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2012
Posts
639
Reaction score
662
Wadau kaka yangu alimaliza diploma of electronics and telecommunication engineering ana g.p.a ya 4.7 mwaka wa jana, je anaweza kuchaguliwa petroleum engineering apo UDSM akifanya application apo mwakani?? na je wana convert vipi g.p.a za diploma na grade za advance??? ahsanteni
 
sidhani mkuu ujue unapochukuwa diploma una specify field flan ambayo mara nying hata ukienda degree itabid ukapge hayo hayo maswala.,mfano mtu mwenye dip ya pharmacy awezi pga degree ya udaktari..!
 
umeongea ukweli ila kwa engineering haiko ivo, ukimaliza diploma ya engineering fulani unaweza soma degree ya kozi nyingine ila unapiga 4 years na ukisoma degree ya kozi uliyomalizia diploma unasoma degree kwa 3 years ila kwa vyuo vyenye iyo system ya 3 years kwa wanaomaliza diploma,
 
Wadau kaka yangu alimaliza diploma of electronics and telecommunication engineering ana g.p.a ya 4.7 mwaka wa jana, je anaweza kuchaguliwa petroleum engineering apo UDSM akifanya application apo mwakani?? na je wana convert vipi g.p.a za diploma na grade za advance??? ahsanteni

kaka yako au wewe mwenyewe??
 
sidhani mkuu ujue unapochukuwa diploma una specify field flan ambayo mara nying hata ukienda degree itabid ukapge hayo hayo maswala.,mfano mtu mwenye dip ya pharmacy awezi pga degree ya udaktari..!

Acha kudanganya uma, ukimaliza diploma upande wa engineering, degree unasoma yoyote inayo husu eng
 
hahahahaha aya kaka ni kaka yangu bhana, naomba ushauri wako bro plz
 
asante sana kaka fadhili, naomba ushauri wako kaka mana petroleum udsm dah
 
Back
Top Bottom