Simba Mwenda Pole
Member
- Mar 6, 2019
- 87
- 80
Petroleum petroleum namba wanaisoma!
Watu wana masters zao namba wanaisoma, watu wana PHD zao namba wanaisoma.
Namba shufwa wanazisoma, namba witiri namba tasa.
Watu wana mauzoefu yao namba wanaisoma, wewe una kadegree kako, mchezo utauweza?
Wewe unaka bachelor kako mchezo utauweza?, achana na petroleum itakuunguza moyo wako
Mdogo wangu mdogo wangu usiiguse petroleum, hii kitu hii sii kitu hii.
Waachie walio igusa waendelee kuisoma namba, usiiguse petroleum namba utaisoma.
Watu wenye one za tatu namba wanaisoma, watu wenye one za nne namba wanaisoma.
Watu wenye one za tano mamba wanaisoma, Wewe mwenye ka two hako utauweza mchezo,
Kusoma namba sio mchezo, kawaulize chekechea.
Huu ni mwaka wa nane kwa watalaam wa petroleum, bado namba wanazisoma.
Kama na wewe wapenda kuzisoma namba basi chagua petroleum.
Petroleum unaipenda na namba utaisoma,
Petroleum ni janga usichague petroleum,
Badirisha kozi haraka usisome petroleum
Ewe kijana wa petroleum uliyepo chuoni,
tunza vizuri bumu lako, bumu tamu jamani litakusaidia wakati wakuzisoma namba.
Kasoda utashushia na tumaji kidogo, huku unaendelea kuzisoma namba.
Kusoma namba ni kazi, ikimbie petroleum
Namalizia kwa kusema, petroleum itakuumiza achana na petroleum.
Naweka karamu chini achana na petroleum,
Usiiguse petroleum engineering, bila huruma itakusomesha namba mtaani
Usiiguse Petroleum chemistry, bila huruma itakusomesha namba mtaani
Usiiguse Petroleum geology, itakusomesha namba mtaani
Usiiguse Oil and Gas Engineering, itakusomesha namba mtaani,
Ewe ndugu yangu wa petroleum, kama Mechanical engineering ipo nenda kaisome hiyo, hutojuta mtaani.
Usiende huko kwenye Oil and gas, mafuta hayo yatakuchoma yatakubabua huo mwili
Bora ukasome electrical engineering, ukapigwe na short ya umeme.