Petroleum Petroleum namba wanaisoma, usichague petroleum

Ni kweli kabisa, petroleum engineering is the best course in the planet. Kwa middle east unaweza vuta $300,000 kwa mwaka. Kwa USA unaweza vuta $300,000-500,000 kwa mwaka. Wajaribu kama wanauwezo wakasome masters uko kwenye nchi za mafuta USA, middle east etc wakimaliza wanapata kazi uko uko.
 
Coz wanachukuliwa fresh students tu

One ya tano mpaka tatu
 
Mkuu wengine tulisha andaa na passport kabisa kupata kazi ni nje ni ngum ile mbaya,
Maisha kama haupo tayari to take a risk,u will die trying passport unayo sasa nini kinakuzuia kusafiri?huhitaji pesa nyingi kuwa nazo ndipo upange safari,unachotakia ni kujiandaa kimwili na kisaikolojia na ukiinua mguu hakuna turning back,panda treni to Tunduma,vuka border ingia Zambia,endelea na treni hadi Kapiri Mposhi pale kuna trunk port kubwa sana,tumia elimu yako mshawishi mmoja wa madereva wa malori yanayosafiri kwenda Walvis Bay,nenda naye hadi huko ,bandari hii inakuua kwa kasi sana,lazima utafumania cha kufanya wakati unaangalia upepo wa kuzamia Angola,ukifika Angola uwezekano wa kuzamia Gabon ni mkubwa na kote huko ni nchi za gesi na mafuta,always sky its a limit acha woga wa kitanzania ingia porini kusaka maisha hasa kama umesoma na age ipo upande wako,Good luck
 
Daaah unavyosimulia kama muvi vile. Sidhani kama ni rahisi hivyo.
 
Daaah unavyosimulia kama muvi vile. Sidhani kama ni rahisi hivyo.
Mkuu hiyo sio movie ni reality katika maisha yetu ya watanzania,wapo wengi waliofanya hayo na wanaendelea kufanya hayo,wasafiri wa mwanzo kabisa hasa kutokea mitaa ya Gerezani na Ilala walikuwa wanakatiza Sudan huku vita kali ya Mr.Garang ikiendelea na watu walifika kwenye dream land zao!!!,angalia pale Durban,Cape Town wadogo zetu wengi tu bado wana take chance ya kuwa Stowaways,wapo wanaofanikiwa na wapo wanaoshindwa;tuachane na uoga ,na uoga huu ndio maaana chama dola kinatuburuza maana we cant stand or take risk.
 
Tutafutie basi hizo nafasi
 
we jamaa inawezekana uliomba sana kusoma petroleum ukakosa kutokana na ufaulu wako,, unarudia rudia thread kutokana na chuki zako kwani petroleum ndo kozi pekee ambayo haina ajira, kwanza ukizingatia watu waliosoma petroleum ni wachache na wapo ambao wameajiliwa.
zipo kozi tatu za petroleum, chemistry, geology na engineering je zote hazina ajira?
kule Total, lake oil, oryx TBS n.k wanafanya kazi kina nani? sio kwa sababu yule rafiki yako uliyefanya naye applicication akapata petroleum we ukakosa halafu Leo kakosa ajila basi ukasema petroleum ni kupoteza muda, walimu wangapi hawajaajiliwa ? civil wangapi wapo mtaani? geology wangapi wameamua kua walimu wa geograph? kila kozi ina mazuri na mapungufu yake... Kwahyo usitishe watu
 
Bachelor of Biomedical Engineering ndio kimbilio kwa Wale vipanga wa PCM...Karibu MUHASI
 
Kusema neno oryx, total, puma, tbs, ni rahisi sana kasome hiyo petroleum Basi 2023 urudi kutuomba radhi kwenye hili jukwaa, unazani kupata kazi kwenye hizo kampuni ni simple simple tu, petroleum imeanza Udom mwaka 2010 nao UD wakaanza 2013, ni lini umeskia ajira za petroleum zimetangazwa zaidi ya zile 4 za TPDC na 3 za TBS,
 
Niombe radhi kwa haya maneno yako bwana mdogo kabla kitaa hakijaenda kukufundisha, wewe unadhani kwa kozi content ya petroleum ilivyo sijui reservoir engineering, drilling, na production ukikosa kazi kwenye mafuta utaweza kujishikiza kampuni gani mbali na mafuta
 
Mkuu upo deep aisee daa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…