Petroleum Petroleum namba wanaisoma, usichague petroleum

🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Muulize ONTARIO sasahiv anafanya nn hahaha petroleum cyo mchezo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Tatizo baba kaamua kuacha gas na migodi... mana kozi ziloanzishwa baada ya kuona uwepo wake... lakini bwana mkubwa kabadili gia angani huku kuna abiria ndani
 
u spoken well:
nahusika na career advisor kwenye shule; waweza kuwa mdau mhim ktk kufanikisha hili'
krb"
krb shulen kwng.
Pole sana,mie nilishawahi kushauri humu tuwe na career advisor kwenye shule za secondary watu wajue options zao hivyo kufanya informed choice,kumfundisha mtu kitu kisichomsaidia ni wizi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja na Akwakacha.

Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…