Petroli Inapatikana Hapa..

Petroli Inapatikana Hapa..

Chief

Platinum Member
Joined
Jun 5, 2006
Posts
3,588
Reaction score
3,194
Kwa wakazi wa Dar: Ili kupashana upatikanaji wa Petroli katika kipindi hiki cha uhaba, nimetoka kununua petroli kituo cha mafuka karibu na soko la Mwananyamala saa 10 alasiri leo hii. Hivyo changamkia kama unatafuta petroli wakati huu.

Christmas Njema
 
Back
Top Bottom