Peugeot kuanza kiwanda cha magari Kenya

Pole so kumbe propaganda na hadithi za vijoweni ndio unajua tu. Bure kabisa wewe., tembea ishi Kenya kisha utoe maoni.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soko la Gari Mpya(Zero milage) Kenya ni asilimia 5% . Sababu kubwa ni bei..VW walijaribu na VW polo assembly lakini bei ni 1.6M na gari lenyewe afadhali probox..
ksh 1.6M uko na toyota markX ama subaru Outback ya kuagizwa toka Japan..
Gari mpya hununuliwa na Serikali na makampuni,kwa hivyo shirika la Peugeot lipo tu hapa kushindania kandarasi na pesa za serikali, hawako hapa kwa masilahi ya wateja wa magari au wananchi kwa jumla
 

When and if the age of imported cars is lowered again, they will get more expensive.
Local cars will get more attractive.
 
Aisee ndugu wewe ni analyst bab kubwa shule ya economy uliyopata umeitendea haki kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…