Sammuel999
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 3,481
- 2,347
No need to explain He knowsKenya ina uchumi mkubwa wewe, angalia bajeti zao na thamani ya shilingi yao uone.
1kshs = 1.01¥ wacha uongoShilingi ya Kenya ina thamani kuliko Japanese yen.
Usiwe mjinga mkuu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Iyo ni ya mogoka tu hata pk hupati [emoji23]
Umaskini wako umekufikisha hapo! Unataka kila mtu afanane na wewe! Wallahi unadhihirisha kutojielewa man! Yaani ni kama unaota! Wewe tulia na umaskini wako!If kenya was doing really well kwanini wewe Edward Wanjala bado masikini? Kenya manufacturing has flat lined for the past ten years?
Why Kenyans can’t feel effects of rosy economic growth data
Niko nayo ya 2000Tsh for three years ni sijawahi ifikiria kama pesa. Nikibadilisha itanunua nini?Haya... sasa tuchukuwe elfu moja ya Tanzania tuitumie Kenya
Niko nayo ya 2000Tsh for three years ni sijawahi ifikiria kama pesa. Nikibadilisha itanunua nini?
Lala ilijua Kenya has stagnated on manufacturing for the last ten years.Umaskini wako umekufikisha hapo! Unataka kila mtu afanane na wewe! Wallahi unadhihirisha kutojielewa man! Yaani ni kama unaota! Wewe tulia na umaskini wako!
[emoji23] [emoji23] ishakuwa tabu.Imagine eti coin ya 500
kuna hadi note ya
Which is equivalent to
Na hii ukipewa utaitupa? Exchange rate ya hiyo pesa is 10x more than kenyan, lakini uchumi wao uko planet nyingine ukilinganisha na Kenyan.Hata mimi nikk na zaa Pink and Green sijui na blue... I have never bothered to change.
Na nayo ukipewa utaitupa? Exchange rate ya hiyo pesa is 10x more than kenyan, lakini uchumi wao uko planet nyingine ukilinganisha na Kenyan.
Nani anakupeleka Korea wewe, Tunaongelea Tanzania na Kenya wewe achia mambo ya Korea ukiulizwa unaitajia nini utasema?
Tunaongelea value of currency, Kenya Kuwa na 100shs to a dollar na Tanzania Kuwa 2000shs to a dollar haionyeshi hali halisi ya uchumi. 830 Rwandan francs gives you 1$, sasa uchumi wa Rwandan utalinganisha na wa Tanzania? Economics zenu zinaogopesha.Nani anakupeleka Korea wewe, Tunaongelea Tanzania na Kenya wewe achia mambo ya Korea ukiulizwa unaitajia nini utasema?
Rwanda si arusha tuTunaongelea value of currency, Kenya Kuwa na 100shs to a dollar na Tanzania Kuwa 2000shs to a dollar haionyeshi hali halisi ya uchumi. 830 Rwandan francs gives you 1$, sasa uchumi wa Rwandan utalinganisha na wa Tanzania? Economics zenu zinaogopesha.
Nakubaliana na wewe.Rwanda si arusha tu
Yes, Kenya always wins, including Mult-billion Projects like Hoima -Tanga crude oil Pipeline, [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Did you see Tanzania in any of my data if not in large population? It means you are way back! It is only in your mind thinking things are working out but not! By the way, investors use such data to know where it is profitable do put their businesses, that is why Kenya always wins!! Educated community with money to spend!
If you are a reader, read this and stop deceiving yourself!
Multinationals now turning Nairobi into hub for Africa
Ni mtazamo huohuo lakini,Nani anakupeleka Korea wewe, Tunaongelea Tanzania na Kenya wewe achia mambo ya Korea ukiulizwa unaitajia nini utasema?
Tel them mkuu, for they are brainwashed.Na hii ukipewa utaitupa? Exchange rate ya hiyo pesa is 10x more than kenyan, lakini uchumi wao uko planet nyingine ukilinganisha na Kenyan.
Nadhani alitaka akufundishe kitu hapo, ila nadhani kwa utumwa wako kichwani (unatumikishwa kuuamini hata mfumo bora wa kuuishi) uchumi wa fedha, GDP na mavitu kama hayo, alitaka akupe kitu kizuri sana, Kwa mtanzania anaijua vyema nchi yake na mfumo wake wa kuuendesha kwa sera na itikadi zake hawezi kutamani mifumo mingine Kama ya Kenya na India, matajiri wa kupindukia wachache na wimbi la umaskini na maskini katikati yao. Tanzania, ni nchi ya opportunities kwa kila mtu, kila mtu anaweza kuwa yeyote yule, uchumi wa Tanzania kama ungeshamiri kama ilivyotarajia watanzania wangeishi paradiso hapahapa duniani. Ustawi wa kiuchumi si majengo, fedha GDP na mambo kama hayo, hivi ni viashiria tu vya ustawi wa uchumi katu si uchumi au maendeleo yenyewe. Huduma bora za kijamii, chakula chakutosha kwa wote, usawa na haki ktk ajira na fursa haswa ardhi, hapo ndipo patakapotokea ustawi bora wa kiuchumi na jamii kwa ujumla, ndo pakujivunia hapo. Namshangaa mtu anaeshangilia kuwepo ktk dunia ya pili, sijui GDP sijui thamani ya juu ya pesa na mavitu kama hayo wkt raia wengi hawana uwakika wa chakula na si kwakuwa kuna ukame bali hata maeneo ya kulima ni finyu yakihodhiwa na wachache tu, watu wanakufa kwa njaa, eti uchumi umekuwa. Maisha ya waafrika wengi yamedumaha ktk njia hizi za uchumi, eti tumefanikiwa ktk kubadilisha uvaaji, aina ya vyakula, music nk. Maendeleo. Majengo marefu, malls, mabarabara nk, kwa viubongo tulivyoazimishwa. Pole yetu sana wana wa Afrika kwa fikra duni. Kwa IMF na WB mmasai mwenye ng'ombe elfu kumi ni maskini tu kwakuwa hana nyumba ya viwango vyao, nguo zao na chakula cha aina yao,hivyo mwl. mwenye kajumba kamkopo, kapikipiki na vijinguo vya kiwestern vya mitumba kwao ameendelea sana.Nani anakupeleka Korea wewe, Tunaongelea Tanzania na Kenya wewe achia mambo ya Korea ukiulizwa unaitajia nini utasema?
Broo umeongea madini haswaa!!Nadhani alitaka akufundishe kitu hapo, ila nadhani kwa utumwa wako kichwani (unatumikishwa kuuamini hata mfumo bora wa kuuishi) uchumi wa fedha, GDP na mavitu kama hayo, alitaka akupe kitu kizuri sana, Kwa mtanzania anaijua vyema nchi yake na mfumo wake wa kuuendesha kwa sera na itikadi zake hawezi kutamani mifumo mingine Kama ya Kenya na India, matajiri wa kupindukia wachache na wimbi la umaskini na maskini katikati yao. Tanzania, ni nchi ya opportunities kwa kila mtu, kila mtu anaweza kuwa yeyote yule, uchumi wa Tanzania kama ungeshamiri kama ilivyotarajia watanzania wangeishi paradiso hapahapa duniani. Ustawi wa kiuchumi si majengo, fedha GDP na mambo kama hayo, hivi ni viashiria tu vya ustawi wa uchumi katu si uchumi au maendeleo yenyewe. Huduma bora za kijamii, chakula chakutosha kwa wote, usawa na haki ktk ajira na fursa haswa ardhi, hapo ndipo patakapotokea ustawi bora wa kiuchumi na jamii kwa ujumla, ndo pakujivunia hapo. Namshangaa mtu anaeshangilia kuwepo ktk dunia ya pili, sijui GDP sijui thamani ya juu ya pesa na mavitu kama hayo wkt raia wengi hawana uwakika wa chakula na si kwakuwa kuna ukame bali hata maeneo ya kulima ni finyu yakihodhiwa na wachache tu, watu wanakufa kwa njaa, eti uchumi umekuwa. Maisha ya waafrika wengi yamedumaha ktk njia hizi za uchumi, eti tumefanikiwa ktk kubadilisha uvaaji, aina ya vyakula, music nk. Maendeleo. Majengo marefu, malls, mabarabara nk, kwa viubongo tulivyoazimishwa. Pole yetu sana wana wa Afrika kwa fikra duni. Kwa IMF na WB mmasai mwenye ng'ombe elfu kumi ni maskini tu kwakuwa hana nyumba ya viwango vyao, nguo zao na chakula cha aina yao,hivyo mwl. mwenye kajumba kamkopo, kapikipiki na vijinguo vya kiwestern vya mitumba kwao ameendelea sana.