Last emperor JF-Expert Member Joined Mar 22, 2015 Posts 10,351 Reaction score 9,855 Apr 26, 2016 #21 Yule dogo Kante wa Leicestr city anastahili,maana ndo nguzo kuu ya timu mwaka huu.Ananikumbusha Claudio Makelele wakati yupo real Madrid......
Yule dogo Kante wa Leicestr city anastahili,maana ndo nguzo kuu ya timu mwaka huu.Ananikumbusha Claudio Makelele wakati yupo real Madrid......
PNC JF-Expert Member Joined Feb 3, 2015 Posts 8,106 Reaction score 14,353 Apr 26, 2016 #22 42_007 said: We lazma utakua ni fyatu Click to expand... Kichaa mkubwa wewe
bukoba boy JF-Expert Member Joined Jan 15, 2015 Posts 5,370 Reaction score 3,962 Apr 26, 2016 #23 Ndio lakini sio mwafrika ndo mana wamempa.
42_007 JF-Expert Member Joined Mar 10, 2015 Posts 1,561 Reaction score 824 Apr 26, 2016 #24 bukoba boy said: Ndio lakini sio mwafrika ndo mana wamempa. Click to expand... Duh we wawapi? Kwani siku ile hukumuona walipotupiga 7-0.? Acha papara
bukoba boy said: Ndio lakini sio mwafrika ndo mana wamempa. Click to expand... Duh we wawapi? Kwani siku ile hukumuona walipotupiga 7-0.? Acha papara