PFA Nominations.

Eqlypz

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2009
Posts
4,065
Reaction score
643
Kama mpenzi wa mpira nimeshangazwa na shortlist ya PFA Award ya msimu huu.
Waliochaguliwa ni (seniors) Samir Nasri, Charlie Adam, Carlos Tevez, Gareth Bale, Scott Parker na Nemanja Vidic. (juniors) ni Jack Wilshere, Joe Hart, Seamus Coleman, Gareth Bale, Samir Nasri na Nani.

Mshangao wangu uko kwenye seniors, ukiangalia Nani ana magoli 9 na 16 assists (namba 1), Samir Nasri magoli 9 na 1 assist, Gareth Bale magoli 7 na 1 assist yet wako kwenye both senior na junior shortlist unlike Nani ambaye yuko kwenye junior list pekee yake.

Ambao kwenye list hawakuwekwa kabisa lakini msimu unawaendea vizuri; Dimitar Berbatov 20 goals 3 assists, Javier Hernandez 11 goals 1 assist, Andy Carrol 11 goals 6 assists, Rafael van der Vart 10 goals 7 assists.
 
Mchango wa ujumla wa mchezaji kwenye team effectiveness ni factor mojawapo kubwa sana.
 
Mchango wa ujumla wa mchezaji kwenye team effectiveness ni factor mojawapo kubwa sana.
Umeona mchango wa Nani kwa Man Utd msimu huu? Au Va der Vaart kwa Spurs ingawa amesumbuliwa na injuries za hapa na pale?
 
Mkubwa Rafael Van De Vart yupo kwenye list
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…