A ACADEMIA TODAY Senior Member Joined Jun 7, 2013 Posts 179 Reaction score 86 Sep 13, 2013 #1 Wakuu habari za majukumu. Nahitaji kusoma sheria za kazi na ajira je chuo gani kwa hapa nyumbani nitapata programme hiyo? na sifa zinazohitajika ni zipi? nahitaji post graduate diploma. kwa sasa nina masters ya HR. ASANTENI KWA USHAURI.
Wakuu habari za majukumu. Nahitaji kusoma sheria za kazi na ajira je chuo gani kwa hapa nyumbani nitapata programme hiyo? na sifa zinazohitajika ni zipi? nahitaji post graduate diploma. kwa sasa nina masters ya HR. ASANTENI KWA USHAURI.
Ufipa-Kinondoni JF-Expert Member Joined Jan 3, 2012 Posts 4,582 Reaction score 2,783 Sep 13, 2013 #2 Angalia Ustawi wa jamii http://www.isw.ac.tz/POSTGRADUATE APPLICATION.pdf au http://www.isw.ac.tz/PROSPECTUS 2011-2013.pdf.
Angalia Ustawi wa jamii http://www.isw.ac.tz/POSTGRADUATE APPLICATION.pdf au http://www.isw.ac.tz/PROSPECTUS 2011-2013.pdf.