Pgd & mstrs of legal and industial metrology

Nivea

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2012
Posts
7,460
Reaction score
4,761
Kuna ndugu yangu alisoma undergraduate hapo cbe na anahitaji kujiendeleza ana vigezo ila ,hapa tz kuna chuo kimoja tu ambacho kinatoa hii course ni cbe.ila hawa wamekuwa wakila hela za watu kwa 3yrs now wanaitangaza hii course ila hawa inroll watu kila akiaply pgd hapo husema hatujatenga hela yakuirun hii course au hamjafika idadi tunayotaka .
Sasa wadau wa elimu niambieni wapi anaweza soma najua masters kwa hapa haiwezekani ! Lakini wapi anaweza pata pgd yake?cbe ni wazushi hawa hovyo kabisa.

Nawasilisha
 
No. Walikuwa na scholarships za kusoma kule ila sikufanikiwa miaka hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…