Wakuu napiga comb hii ila na wasiwasi nayo !
Je nini nifanye kuikabili?
Ni Nzuri sana!piga msuli kwa Malengo utafanikiwa!mimi niliifanya pale mkwawa!soma weka Malengo na utafanikiwa kwani hakuna kisichowezekana chini ya jua!Wakuu napiga comb hii ila na wasiwasi nayo !
Je nini nifanye kuikabili?