Phares Magessa aangukia pua TBF

Phares Magessa aangukia pua TBF

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Taarifa mpya zinaonyesha kwamba aliyekuwa Rais wa Chama cha Mpira wa Kikapu pedeshee Phares Magessa ameangushwa kwenye uchaguzi wa chama hicho unaoendelea .

Taarifa zaidi zitawajia hivi punde .....
 
Watanzania hawasomi alama za nyakati kabisa

Phares alishaonekana amechokwa Sana kuna siku alikuwa kipind Cha sportsextra Cha clouds fm niliona yule mchambuzi KOTINYO anamchana Sana jamaa niliona waz jamaa hakubaliki

Nadhan chawa wake NDIO waliomshauri agombee Tena

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Mshindi kawa Michael Kadeghe, tunatarajia mengi sana kutoka kwake
Taarifa mpya zinaonyesha kwamba aliyekuwa Rais wa Chama cha Mpira wa Kikapu pedeshee Phares Magessa ameangushwa kwenye uchaguzi wa chama hicho unaoendelea .

Taarifa zaidi zitawajia hivi punde .....
 
Back
Top Bottom