Pharmaceutical science na Medical Laboratory sc...

Pharmaceutical science na Medical Laboratory sc...

RGforever

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2011
Posts
6,878
Reaction score
5,432
Eti wakuu kati ya hizo Mbili
ipi ni Nzuri kwa kuisoma..
 
jagua mwenyewe !! pharmacy utauza dawa, med lab utafanya kazi maabara. ila med lab ni rahisi kujiendeleza. pharmacy utadumaa. kusoma ni uamuzi wako si mwingine akuchagulie, pia jua lab kule shule ni kigongo kuliko phamrcy, je , bichwa lako liko poa kwa shule hizo?
 
Back
Top Bottom