jagua mwenyewe !! pharmacy utauza dawa, med lab utafanya kazi maabara. ila med lab ni rahisi kujiendeleza. pharmacy utadumaa. kusoma ni uamuzi wako si mwingine akuchagulie, pia jua lab kule shule ni kigongo kuliko phamrcy, je , bichwa lako liko poa kwa shule hizo?