Pharmacist anatafutwa, awe na cheti kilichosajiliwa na Baraza la Wafamasia

Fikisha 1M utapata fast
Mkuu siku hizi market value ya usimamizi wa famasi iko chini sana, ukitoa 1M labda awe anakuja na kudispense ila kuweka tu cheti hio ni hasara kwa duka.
 
Yooooo Tanzania yetu hii inakatisha tamaa ya kuishi yaani mwenye certificate ya pharmacy mshahara 600,000ths!,yaani 5600 zambian kwacha,3400 Botswana pula,4500 SA zar;it's a NO,kwenye nchi hizo hiyo ni mishahara ya mfagizi wa kwenye take aways kama KFC,why nchi hii imefikia level hii?
 
Amia uko

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
Wenzetu waliosoma wanafaidi....hela yote hiyo bado watu wanajishauri..... wakati Sisi huku kwenye makampuni ya ulinzi mshahara 120,000/= na bado kuipata unamhonga supaviaza........
 
Back
Top Bottom