MagdaleneH
Member
- Apr 10, 2024
- 6
- 13
Bado sijampataNenda kapost kwenye magroup yao utapata tu mkuu.
Fikisha 1M utapata fastBado sijampata
Mkuu siku hizi market value ya usimamizi wa famasi iko chini sana, ukitoa 1M labda awe anakuja na kudispense ila kuweka tu cheti hio ni hasara kwa duka.Fikisha 1M utapata fast
Amia ukoYooooo Tanzania yetu hii inakatisha tamaa ya kuishi yaani mwenye certificate ya pharmacy mshahara 600,000ths!,yaani 5600 zambian kwacha,3400 Botswana pula,4500 SA zar;it's a NO,kwenye nchi hizo hiyo ni mishahara ya mfagizi wa kwenye take aways kama KFC,why nchi hii imefikia level hii?
Haya tafuta wa bei hiyoMkuu siku hizi market value ya usimamizi wa famasi iko chini sana, ukitoa 1M labda awe anakuja na kudispense ila kuweka tu cheti hio ni hasara kwa duka.
Acha upumbavu,nipo huko tayari sasa unasemaje?
Bro, unachukua 600k kabisa!!?kama hujapata nipo mimi hapa 0764227420
watu tumezungukwa na vitu ving bro.Bro, unachukua 600k kabis
Mimi labda anipe ya mwaka mzima kwa hiyo 600k.watu tumezungukwa na vitu ving bro.
Wenzetu waliosoma wanafaidi....hela yote hiyo bado watu wanajishauri..... wakati Sisi huku kwenye makampuni ya ulinzi mshahara 120,000/= na bado kuipata unamhonga supaviaz
tajir umenichekesha ila jamaa anasema atakuwa anapanda kila baada ya miez kadhaaMimi labda anipe ya mwaka mzima kwa hiyo 600k.
usiuingie huo mtegotajir umenichekesha ila jamaa anasema atakuwa anapanda kila baada ya miez kadhaa
Aongeze bhanatajir umenichekesha ila jamaa anasema atakuwa anapanda kila baada ya miez kadhaa