Pharmacist anatafutwa

Pharmacist anatafutwa

Una utani wewe..600k weka cheti chako cha ubatizo
 
pharmacist anatafutwa
Requirements: awe na cheti kilichosajiliwa na baraza la wafamasia
Location: Dar es salaam
Payment: 600,000Tsh
Contact: 0782121208
Bora ya huyu hapa akaweka anatoa Nini. Mwingine anaweka mbwembwe nyingi kwa anachotaka kwa mtu huyo awe anacho Ila yeye anashindwa kusema alicho nacho
 
Huwezi pata pharmacist in charge wa bei hiyo ,hata awe na shida na kazi kiasi hicho
 
Back
Top Bottom