pharmacist

Joined
Feb 15, 2013
Posts
9
Reaction score
2
mm ni kijana niliemaliza kidato cha sita mwaka huu nilichukua PCB nasubiria majibu, ndoto zangu ni kuwa doctor lakin nimezungumza na baadhi ya watu wanadai udaktari mgumu Afadhal ufamasia, so mnaweza mkanijuza famasia kazi yake ni nini? mm ninachojua ni kuuza dawa tu
 

ufamasia ni mgumu zaidi........ afadhali udaktari
 
zote udaktari na ufamasia ni ngumu hamna rahisi. Lakini pia ugumu au urahisi unautengeneza wewe.

Kuwa daktari sio lazima uwe genius, but a bit of kujitoa na kusoma kwa upana zaidi coz mambo ya afya ni mapana na mengi sana na evidence ya namna ya kutibu zinabadilika kwa kasi ya ajabu. Vivyo hivyo kwa pharmacy.

On the other hand udaktari utahitaji kusoma sana kwa muda mrefu na huo ndio hasa ugumu wenyewe ulipo, not content.

Mwisho kabisa nakushauri usome unachopenda na siyo anachopenda mtu mwingine
 

It is sad to look as pharmacy as 2nd best career to medicine. May be because in Tanzania pharmacists are not well recognised and well paid. A pharmacists is a recognised health care professional who directly is involved in patient care. In countries such as North America pharmacists are well paid professionals.
 
I think hapa sio kuangalia kozi, cha maana kijana angalia 20 years from now unataka kuwa nani, si ajabu hata hizo field hazikufai,

who do you want to be?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…