Mwenzenu ninatatizwa na maelekezo yanayotelewa na wafamasia au wauzaji ktk maduka ya dawa sehemu mbalimbali na hasa hizi famasi zilizo nje ya mji. Ukifanikiwa kusoma maelekezo katika box la chupa, limeandikwa 2.5mls after every 4 hours, lakini yule muuzaji anakuandikia 5mls X 3. Hii inakaaje? Je kwa yule asiyeweza kusoma hayo maelekezo akamsikiliza tu muuzaji si ni hatari tupu mgonjwa?
Nchi za wenzetu hakuna kutoa dawa bila maelezo ya daktari, lakini hapa kwetu....? Mfamasia anakuwa Daktari huyo huyo.
Nchi za wenzetu hakuna kutoa dawa bila maelezo ya daktari, lakini hapa kwetu....? Mfamasia anakuwa Daktari huyo huyo.