Pharmacy inayopokea kadi za NHIF (DAR)

Nareem

Member
Joined
Nov 13, 2011
Posts
78
Reaction score
76
Habarini za leo ndungu zangu,

Mimi ndugu yenu naomba kufahamu pharmacy yeyote iliyo Dar, hasa maeneo karibu na Tazara, Ilala, Buguruni na karibu na hayo ambayo hawana usumbufu katika kutoa huduma kwa kutumia kadi za NHIF. Mzazi wangu anatumia dawa za kisukari (special clinic dose). Hata hivyo ni mwanachama wa bima ya afya ya taifa. Cha kuhuzunisha ni kila akienda kwenye baadhi ya hizi pharmacy hawampi dawa, eti wanamwambia hawana bajeti za hiyo bima, wakimaanisha kwa wanaotumia bima dawa hamna ila kama anacash basi zipo. Yani naumia sana maana nachangia pesa nyingi mno kwa hii huduma, halafu bado natakiwa kununua dawa tena jamani. Nisaidieni wanajamii kwenye hili.

Natanguliza shukran zangu za dhati, mbarikiwe wote.

Ahsanteni.
 
Nenda nakiete wao wanapokea hizo kadi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…