princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
Unapewa, nenda tu na karatasi aliyopewa na kadi yake ya bimaHabari wapendwa
Phamarcy Gani kwa mkazi wa Dsm ambayo hutoa dawa kwa kadi ya bima?....
maana mgonjwa kapewa karatasi la dawa akanunue farmacy wanazotumia bima.
Je ukienda mtu tofauti na mgonjwa mwenyewe, lakini una bima ya mgonjwa na karatasi la dawa watakupatia dawa ?
Mkuu mgonjwa yuko kitandani ni haiwezekani ...ila makaratasi nnanyo na bima ya mgonjwaKwa mimi nnavyojua,nakiete unatoa dawa kwa bima ila ni vizuri uende na mgojwa na karatasi la hospitali
kimaraZipo nyingi, inategemea upo eneo lipi.
Mh! Kimara sio mwenyeji, ila hiyo Morogoro road yamejaa mafamasi makubwa na yako barabarani. Unaweza kupanda mwendokasi mpaka Magomeni, zipo famasi nyingi & zinatoa huduma ya BIMA.kimara
Hawawezi kukataa ... Unaenda na kadi yake na karatasi za dawa.kimara
uko maeneo gani kwa kuanzia...phamarcy ndio sizifahamu sasa mkuu
Unapata mkuu na ukifika mlangoni huwa zimeeandikwa aina za bima zinazo tumika sema cjajua uko maeneo gan ili kukuelekeza pharmacy huska.Habari wapendwa
Phamarcy Gani kwa mkazi wa Dsm ambayo hutoa dawa kwa kadi ya bima?....
maana mgonjwa kapewa karatasi la dawa akanunue farmacy wanazotumia bima.
Je ukienda mtu tofauti na mgonjwa mwenyewe, lakini una bima ya mgonjwa na karatasi la dawa watakupatia dawa ?
Mkuu unazidi kuniweka njia pandaMh! Kimara sio mwenyeji, ila hiyo Morogoro road yamejaa mafamasi makubwa na yako barabarani. Unaweza kupanda mwendokasi mpaka Magomeni, zipo famasi nyingi & zinatoa huduma ya BIMA.
Huku mjini Kariakoo, Posta, Mwenge nk yapo mengi pia yanatoa huduma za Bima.
Rahisi kabisa ukienda karibu na hospitali kubwa kubwa utayakuta pia kuanzia M/nyamala all the way to MNH.
Ila nadhani, Ukiulizia huko Kimara hutakosa.
KIMARAuko maeneo gani kwa kuanzia...
Kimara mkuuUnapata mkuu na ukifika mlangoni huwa zimeeandikwa aina za bima zinazo tumika sema cjajua uko maeneo gan ili kukuelekeza pharmacy huska.
Hapo sasa mkuu Njia nmeielewaKwa urahisi kabisa nenda pale Muhimbili, kuna Lifeline pharmacy na wenzake wengi wanatoa huduma hizo.
Otherwise wa huko Kimara watakuja kukutajia za karibu.
Na bima zingnezo piaNenda magoni kagera ipo pharmacy inatumia nihf
Asante mkuu...Nenda magoni kagera ipo pharmacy inatumia nihf
Karbu sana ukikosa sana ni pm nikuelekeze pharmacy nyingne sawa mwananguueeeAsante mkuu...
kesho asubuhi nafika huko
nielekeze tu mkuuKarbu sana ukikosa sana ni pm nikuelekeze pharmacy nyingne sawa mwananguueee