PHD ndani ya Clouds TV Tonight @10.15pm

PHD ndani ya Clouds TV Tonight @10.15pm

Muuza Sura

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
1,985
Reaction score
1,352
Mkali wa bongo movie ambaye pia ni muimbaji wa bongo flava Hemedy Suleiman PHD leo usiku kuanzia mishale ya saa 4 na nusu usiku atakuwa katika kipindi cha weekend chat show ndani ya clouds TV....amehaidi washabiki wake wakae mkao wa kula na ujio wa wimbo wake mpya uitwao MAMA KIMBO uliorekodiwa bhitz feauturing MABESTE..........
 
kumbe ni ww.....................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
mh promo time sasa zimeanza daah kweli mawingu fm kirus
 
Hoa ndo watu wakuwahoji cause ndo wahuza sura maharufu jiji,sio wa mh wa watu.
 
amna kitu hapo... hemed kuimba kushney, mchovu kabisa yule
 
Back
Top Bottom